-
Israel yaendeleza jinai zake dhidi ya raia wanaodhulumiwa wa Wapalestina
Mar 07, 2017 00:59Utawala wa Kizayuni wa Israel umewapa amri wanajeshi wake wavamie na kuvunja makumi ya nyumba za wananchi wa Palestina katika kijiji cha Khan al Ahmar, mashariki mwa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu
Feb 15, 2017 12:28Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baytul Muqaddas ni kutangaza vita dhidi ya Waislamu
Jan 21, 2017 03:30Khatibu wa Masjidul Aqswa amesenma kuwa, kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv na kupelekwa Baytul Muqaddas kutakuwa ni sawa na kutangaza vita sio tu dhidi ya Wapalestina bali dhidi ya Waarabu na Waislamu wote.
-
Ufaransa yaionya Marekani juu ya kuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds
Jan 16, 2017 00:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa amesema kuwa, pendekezo la Donald Trump Rais mteule wa Marekani la kuhamishia ubalozi wa Marekani katika mji wa Baytul Muqaddas ni la kichochezi.
-
Kuhamishiwa Quds ubalozi wa US, mstari mwekundu kwa Palestina
Jan 07, 2017 03:42Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemuonya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu.
-
PLO yaionya Marekani kuhusu kuhamishia ubalozi Quds Tukufu
Dec 17, 2016 04:24Afisa wa ngazi za juu katika Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Qud Tukufu.
-
Kupigwa marufuku adhana katika Msikiti wa al Aqsa, hatua mpya ya Israel katika fremu ya sera za Trump
Nov 15, 2016 04:09Katika fremu ya kudumisha sera za kuiyahudisha Quds tukufu na kufuta kabisa nembo na alama zote za Kiislamu katika ardhi ya Palestina, Baraza la Mawaziri la Israel limeafiki mpango wa kupiga marufuku adhana katika misikiti ya Quds ukiwemo Msikiti wa al Aqsa.
-
Hasira za Marekani na Israel kwa uamuzi wa UNESCO kuhusu Quds
Oct 15, 2016 00:24Uamuzi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wa kusisitiza kuwa Mayahudi hawana uhusiano wowote ule na Masjidul Aqsa, (Kibla cha Kwanza cha Waislamu) wala mji wa Quds, umewahamakisha sana viongozi wa utawala wa Kizayuni na Marekani
-
Kushadidi njama za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Quds
Aug 04, 2016 23:57Ripoti mbalimbali zinaonesha juu ya kuanza duru mpya ya njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuwa na satua katika mji wa Quds.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran ifuatilie haki zake zilizokiukwa na Marekani
Jun 29, 2016 23:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevitaka vyombo vya mahakama Iran kuchukua hatua imara zaidi katika kufuatilia haki za Iran zilizokiukwa kutokana na vikwazo kupitia vyombo vya mahakama vya kimataifa.