Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Mamilioni ya watu washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kote duniani

    Mamilioni ya watu washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kote duniani

    Jul 01, 2016 03:23

    Mamilioni ya watu hapa Iran na katika nchi zingine kote duniani wanashiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao unazozikalia kwa mabavu.

  • IRGC:Uchu wa kuikomboa Quds, chachu ya harakati za muqawama

    IRGC:Uchu wa kuikomboa Quds, chachu ya harakati za muqawama

    Jun 30, 2016 23:10

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC limesema uchu wa kutaka kukombolewa Quds tukufu ndio chachu inayozipa nguvu harakati za kimuqawama katika eneo hili la Mashariki ya Kati.

  • Wito wa Iran kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds

    Wito wa Iran kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 30, 2016 03:01

    Sambamba na kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds itakayoadhimishwa kote duniani kesho Ijumaa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Siku ya Kimataifa ya Quds: Palestina, Kadhia Kuu ya Waislamu Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Quds: Palestina, Kadhia Kuu ya Waislamu Duniani

    Jun 28, 2016 23:57

    Mbunge wa ngazi za juu nchini Iran amesema kadhia ya Palestina ndio muhimu zaidi kwa Waislamu na hivyo ametoa wito wa ushiriki mkubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.

  • Jeshi la Iran launga mkono Intifadha ya Palestina

    Jeshi la Iran launga mkono Intifadha ya Palestina

    Jun 28, 2016 09:35

    Kamandi ya Majeshi yote ya Iran imetoa wito kwa watu wote katika ulimwengu wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa hii.

  • Kamanda mwandamizi Iran aionya vikali Bahrain kwa kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim

    Kamanda mwandamizi Iran aionya vikali Bahrain kwa kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim

    Jun 21, 2016 03:02

    Kufuatia hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim, kamanda wa Kikosi cha Quds katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ameuonya vikali utawala wa Aal Khalifa

  • Israel yafuta maeneo matakatifu ya Kiislamu katika ramani mpya

    Israel yafuta maeneo matakatifu ya Kiislamu katika ramani mpya

    Jun 13, 2016 21:59

    Wizara ya Utalii ya utawala wa Kizayuni wa Israel imechapisha ramani mpya ya mji wa Quds tukufu ambayo ndani yake maeneo yote matakatifu ya Kiislamu na Kikristo yamefutwa.

  • Walowezi wa Kizayuni wafanya maandamano Quds, wavamia al-Aqsa

    Walowezi wa Kizayuni wafanya maandamano Quds, wavamia al-Aqsa

    Jun 06, 2016 02:59

    Maelfu ya walowezi wa Kizayuni wamefanya maandamano ya kutiliwa shaka mashariki mwa Quds inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel na kuzusha hali ya taharuki katika eneo hilo.

  • Wazayuni kadhaa wajeruhiwa karika mripuko wa bomu Quds

    Wazayuni kadhaa wajeruhiwa karika mripuko wa bomu Quds

    Apr 18, 2016 12:24

    Habari kutoka Palestina inayokaliwa kwa mabavu zinasema kuwa, Wazayuni karibu 20 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu katika basi moja huko Quds.

  • Intifadha ya Quds yamtia kiwewe Netanyahu

    Intifadha ya Quds yamtia kiwewe Netanyahu

    Apr 10, 2016 10:42

    Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel ameshindwa kuficha wasiwasi wake kutokana na Wapalestina kuendeleza Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS