-
Desmond Tutu amtaka San Suu Kyi kukomesha mauaji ya Waislamu Myanmar
Sep 09, 2017 00:01Askofu Mkuu wa Afrika Kusini, Desmond Tutu amemtaka Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar na mshindi mwenzake wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Aung San Suu Kyi kukomesha mauaji yanayofanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
ISESCO yataka Aung San Suu Kyi anyang'anywe tuzo ya Nobel, Waislamu waendelea kuuawa Myanmar
Sep 06, 2017 07:42Shirika la Elimu, Sayansi na Utamasdu la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO) limetangaza kuwa, Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar, Aung San Suu Kyi anapaswa kunyang'anywa Tuzo ya Amani ya Nobel kutokana na mauaji ya kutisha yanayoendelea kufanyika nchini humo dhidi ya Waislamu.
-
BHRN: Sio Waislamu wa Rakhine tu wanaouawa Myanmar
Sep 05, 2017 23:19Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Myanmar limetoa ripoti iliyofichua kuwa Waislamu katika maeneo yote ya nchi hiyo wanauawa na kuhujumiwa na wanajeshi wa nchi hiyo na sio wa kabila la Rohingya tu katika mkoa wa Rakhine.
-
Israel yashirikiana kijeshi na Mynamar inayoua kikatili Waislamu
Sep 04, 2017 11:52Huku utawala wa mabudha wa Myanmar ukiendeleza ukatili wake dhidi ya Waislamu wa Rohingya, utawala wa Kizayuni wa Israel unaowakandamiza kikatili Waislamu wa Palestina nao unaimarisha ushirikiano wake wa kijeshi na serikali ya Myanmar.
-
Waislamu Indonesia waandamana kuwatetea wenzao wa Rohingya
Sep 02, 2017 23:24Waislamu nchini Indonesia wamejitokeza kwa wingi mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani mauaji na jinai wanazofanyiwa Waislamu wenzao wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
-
Jamii ya kimataifa yatakiwa kuvunja kimya chake mbele ya mauaji ya Waislamu Myanmar
Aug 31, 2017 23:44Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu wa jamii ya Rohingya yenye makao yake nchini Uingereza amekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wenye misimamo mikali dhidi ya Waisalmu nchini Myanmar
-
Warohingya 17 waghariki katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh
Aug 31, 2017 09:10Kwa akali wakimbizi 17 Waislamu wa kabila la Rohingya wamekufa maji katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh wakikimbia jinai wanazofanyiwa na Mabudha wenye misimamo ya kuchupa mipaka na jeshi la Myanmar.
-
Iran yaitaka serikali ya Myanmar izuie ukiukwaji haki za Waislamu wa Rohingya
Aug 28, 2017 23:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainisha wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Myanmar na imeitaka serikali ya nchi hiyo izuie ukiukwaji wa haki za Waislamu nchini humo.
-
Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar
Jun 08, 2017 21:56Wawakilishi wa bunge la Myanmar wametaka kujengwa vijiji zaidi vya kikabila kwa lengo la kuwakandamiza Waislamu wa jamii ya Rohingya ikiwa ni katika kuendelea kuangamizwa kizazi cha Waislamu hao huko Myanmar khususan katika mkoa wa Rakhine.
-
UN yaunda timu ya kuchunguza jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya
May 30, 2017 10:59Umoja wa Mataifa umeunda timu ya wataalamu huru kuchunguza mauaji na jinai zinazofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine.