-
Myanmar yapinga ripoti ya UN kuhusu jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya
May 23, 2017 03:15Jeshi la Myanmar limekanusha ripoti ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa iliyosema kuwa viongozi wa serikali wanabeba dhima ya jinai zilizotendwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
UN yatoa azimio la kuwatetea Waislamu wa Rohingya, Myanmar
Mar 24, 2017 11:20Nchi wanachama wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa zipasisha azimio na kutaka kufunguliwa mshtaka, kufikishwa mahakamani na kuadhibiwa wale wote wanaohusika na mauaji na kuwatesa Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
-
Jeshi na polisi ya Myanmar zatenda jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu
Feb 07, 2017 04:07Shirika la Kutetea Haki za Binadamu limeripoti kuwa jeshi na polisi ya Myanmar zinaratibu jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu nchini humo.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zizuie Waislamu kudhulumiwa duniani
Jan 19, 2017 04:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezitaka nchi za Kiislamu zisikubali wala kuvumilia kuona Waislamu wakikandamizwa na kudhulumiwa duniani.
-
OIC kujadili mauaji na ukaandamizaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Jan 12, 2017 00:17Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inatazamiwa kufanya mkutano wa kujadili mauaji na ukandamizaji wanaofanyiwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar.
-
HRW: Serikali inaficha jinai na mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Jan 05, 2017 12:39Mashirika ya kutetea haki za binadamu ikiwemo Human Rights Watch yamesema serikali ya Myanmar inajaribu kuficha jinai na mauaji yanayofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
Maelfu waandamana Pakistan kulaani mauaji ya Waislamu wa Rohingya
Dec 10, 2016 10:54Maelfu ya wananchi wa Pakistan wameandamana kulaani vitendo vya utumiaji mabavu na mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
-
Iran yalaani ukatili dhidi ya Waislamu nchini Myanmar
Dec 05, 2016 11:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani ubaguzi na ukatili unaofanywa dhidi ya makundi ya kidini nchini Myanmar.
-
Kofi Annan yuko Myanmar kuchunguza ukatili dhidi ya Waislamu
Dec 03, 2016 00:53Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan yuko nchini Myanmar kuchunguza ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
Waislamu wa Myanmar waandamwa na mateso ya kila upande
Nov 20, 2016 12:05Waislamu wa kabila la Rohingya wa nchini Myanmar waliokuwa wanakimbilia nchini Bangladesh kwa ajili ya kuokoa maisha yao kutokana na mauaji wanayofanyiwa na askari wa serikali ya mabudha nchini mwao, sasa wanazuia na gadi ya nchi kavu Bangladesh wasiingie tena nchini humo.