-
Rais Rouhani asisitiza haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afrika Kusini
Apr 27, 2021 13:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo suala la kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa taifa hili na Afrika Kusini katika nyuga anuai.
-
Rouhani: Iran inapanga kuzindua mchakato mpana wa chanjo ya COVID-19
Apr 20, 2021 10:42Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali ina mpango wa kuzindua mpango mkubwa wa chanjo ya COVID-19 au corona ili kulinda afya ya watu wote.
-
Rouhani: Taifa la Zimbabwe litavishinda vikwazo vya Marekani
Apr 19, 2021 02:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa kwa mnasaba wa Siku ya Uhuru wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, iliyoadhimishwa jana Jumapili.
-
Rouhani: Kuwepo Wazayuni katika kanda ya Asia Magharibi ni hatari kubwa
Apr 14, 2021 07:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel katika kanda hii ya Magharibi mwa Asia ni hatarii kubwa.
-
Rouhani: JCPOA imeipa uhalali sekta ya nyuklia ya Iran
Apr 10, 2021 12:33Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kupasishwa kwa makubaliano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA kuliipa uhalali kamili wa kisheria sekta ya nyuklia ya taifa hili.
-
Rouhani: Ni zamu ya kundi la 5+1 kutekeleza wajibu wake mkabala wa Iran
Apr 01, 2021 11:40Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imetekeleza barabara wajibu wake na kufungamana na ahadi zake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na hivi sasa ni zamu ya kundi la 5+1 kutekeleza jukumu lake.
-
Rouhani: Vikwazo dhidi ya taifa la Iran ni hatua isiyo ya kibinadamu
Apr 01, 2021 06:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendelezwa vikwazo dhidi ya taifa la Iran ni hatua isiyo ya kibinadamu.
-
Rais Rouhani: Endapo Marekani itatekeleza ahadi zake, sisi pia tutafanya hivyo
Mar 31, 2021 11:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo kutakuwa na azma imara na Marekani ikarejea katika mazingira ya kabla ya vikwazo, sisi pia siku hiyo hiyo tutaanza kutekeleza ahadi zetu.
-
Rais Rouhani: 1400; mwaka wa ustawi wa kiuchumi Iran na mwisho wa kipindi kizito cha vita vya kiuchumi
Mar 21, 2021 12:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni jambo lisilo na shaka kwamba mwaka 1400 Hijria Shamsia utakuwa mwanzo wa ustawi mpya wa kiuchumu humu nchini na kuanza kuzaa matunda muqawama wa miaka mitatu wa taifa katika vita vya kiuchumi tulivyotwishwa na adui.
-
Rais Rouhani: Kusimama imara taifa la Iran kumepelekea kushindwa maadui
Mar 20, 2021 14:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo katika ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Kiirani wa 1400 Hijria Shamisa kwamba kusimama imara taifa la Iran kumepelekea kushindwa maadui.