Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Siku ya Kimataifa ya Quds ni siku ya kuhuisha kadhia ya Palestina

    Rais Rouhani: Siku ya Kimataifa ya Quds ni siku ya kuhuisha kadhia ya Palestina

    Jun 21, 2017 09:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds ni siku ya kuhuisha suala la Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Rouhani: Ugaidi eneo la Mashariki ya Kati ni sehemu ya ajenda ya Israel

    Rouhani: Ugaidi eneo la Mashariki ya Kati ni sehemu ya ajenda ya Israel

    Jun 21, 2017 03:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema operesheni na harakati za kigaidi zinazoshuhudiwa katika eneo hili la Mashariki ya Kati ni sehemu ya ajenda ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kuwashughulisha watu ili wasahau kadhia muhimu ya Palestina.

  • Iran kuendelea kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika

    Iran kuendelea kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika

    Jun 21, 2017 03:00

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuwa, ni katika sera zilizo madhubuti za nchi hii kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika.

  • Iran itatoa jibu kali kwa magaidi wanaopania kufanya mashambulizi nchini

    Iran itatoa jibu kali kwa magaidi wanaopania kufanya mashambulizi nchini

    Jun 20, 2017 23:34

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatoa jibu kali zaidi kwa magenge ya kigaidi yatakayojaribu kuleta chokochoko na kufanya mashambulizi ndani ya ardhi ya nchi hii.

  • Wachezaji na uongozi wa timu ya taifa ya soka ya Iran wakutana na Rais Rouhani

    Wachezaji na uongozi wa timu ya taifa ya soka ya Iran wakutana na Rais Rouhani

    Jun 14, 2017 11:04

    Wachezaji na uongozi wa timu ya taifa ya soka ya Iran wamekutana na Rais Hassan Rouhani.

  • Rouhani: Iran daima imekuwa mstari wa mbele kupambana na ugaidi

    Rouhani: Iran daima imekuwa mstari wa mbele kupambana na ugaidi

    Jun 13, 2017 23:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini, Iran ilikabiliana na wimbi la ugaidi na kupoteza maelfu ya mashahidi, na kwamba daima imekuwa mstari wa mbele kupambana na ugaidi.

  • Rais Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni matunda ya uelewa na kuwa karibu na Qur'ani

    Rais Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni matunda ya uelewa na kuwa karibu na Qur'ani

    Jun 11, 2017 03:33

    Rais Hassan Rouhani amesema Mapinduzi ya Kiislamu ni matunda ya uelewa na kuwa na karibu na Qur'ani na kuongeza kuwa Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama juu ya msingi wa kufuata watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume SAW waliolelewa kwenye Chuo cha mafundisho ya Qur'ani.

  • Rais Rouhani: Iran na Syria zinashirikiana kuangamiza ugaidi

    Rais Rouhani: Iran na Syria zinashirikiana kuangamiza ugaidi

    Jun 09, 2017 00:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mapambano halisi na ya kweli dhidi ya ugaidi na kurejesha amani ya kudumu katika eneo la Mashaiki ya Kati ni lengo la pamoja la Iran na Syria.

  • Rouhani: Iran itajibu mapigo ya maadui kupitia umoja na mshikamano

    Rouhani: Iran itajibu mapigo ya maadui kupitia umoja na mshikamano

    Jun 08, 2017 02:23

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha njama za maadui kupitia umoja na mshikamano wa wananchi wa taifa hili.

  • Rouhani asisitizia udharura wa kufuatwa njia na malengo ya Imam Khomeini

    Rouhani asisitizia udharura wa kufuatwa njia na malengo ya Imam Khomeini

    Jun 04, 2017 03:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa watu wa matabaka yote kujifunza kuhusu malengo, azma na maono ya Imam Ruhullah Khomeini MA, muasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS