Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Iran kuendeleza ushirikiano wa pande tatu na Russia, Syria

    Rouhani: Iran kuendeleza ushirikiano wa pande tatu na Russia, Syria

    May 27, 2017 09:03

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza ushirikiano na Russia katika kuimarisha amani, uthabiti na mapambano dhidi ya ugaidi hasa nchini Syria.

  • Matamshi ya maadui kuhusu nguvu ya makombora ya Iran ni kwa ajili ya ujinga

    Matamshi ya maadui kuhusu nguvu ya makombora ya Iran ni kwa ajili ya ujinga

    May 24, 2017 09:56

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matamshi ya maadui wa taifa la Iran kuhusu nguvu za kimakombora wa Iran yanatokana na ujinga wao kwani uwezo wa Iran unatokana na kulitegemea taifa.

  • Rais Rouhani afanya mazungumzo na rais mpya wa Ufaransa

    Rais Rouhani afanya mazungumzo na rais mpya wa Ufaransa

    May 23, 2017 03:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itaendelea kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna.

  • Rais Rouhani: Ujumbe wa uchaguzi wa Iran ulikuwa ni mshikamano na umoja wa kitaifa

    Rais Rouhani: Ujumbe wa uchaguzi wa Iran ulikuwa ni mshikamano na umoja wa kitaifa

    May 22, 2017 12:00

    Rais Hassan Rouhani amesema, katika uchaguzi wa Ijumaa, wananchi wa Iran walishiriki kwa kiwango cha juu kabisa cha demokrasia duniani.

  • Rouhani asema mahudhurio makubwa yataimarisha izza, usalama wa Iran

    Rouhani asema mahudhurio makubwa yataimarisha izza, usalama wa Iran

    May 19, 2017 03:15

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa rais unaofanyika hii leo hapa nchini akisisitiza kuwa, mahudhurio makubwa katika zoezi hilo yataimarisha izza na usalama wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Rais Rouhani atoa mkono wa pole kwa familia za waliofia mgodini Iran

    Rais Rouhani atoa mkono wa pole kwa familia za waliofia mgodini Iran

    May 04, 2017 03:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa ajali iliyotokea mgodini kaskazini mashariki mwa nchi hapo jana.

  • Rais Rouhani: Wafanyakazi ni fakhari ya uchumi na wananchi wa Iran

    Rais Rouhani: Wafanyakazi ni fakhari ya uchumi na wananchi wa Iran

    May 01, 2017 09:24

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wafanyakazi ni fakhari ya uchumi na wananchi wa taifa hili.

  • Rouhani: JCPOA imetekelezwa kwa mujibu wa miongozo ya Kiongozi Muadhamu

    Rouhani: JCPOA imetekelezwa kwa mujibu wa miongozo ya Kiongozi Muadhamu

    Apr 30, 2017 11:43

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna kwa mujibu wa miongozo ya busara ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

  • Rouhani: Serikali itawasaidia waathiriwa wa mafuriko kwa uwezo wake wote

    Rouhani: Serikali itawasaidia waathiriwa wa mafuriko kwa uwezo wake wote

    Apr 19, 2017 03:04

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa serikali inafanya jitihada kwa nguvu zake zote ili kuwasaidia na kutatua matatizo waliyonayo waathirika wa mafuriko ya hivi karibuni hapa nchini.

  • Rouhani: Baadhi ya majeshi ya dunia yanaunga mkono ugaidi na mapinduzi ya kijeshi

    Rouhani: Baadhi ya majeshi ya dunia yanaunga mkono ugaidi na mapinduzi ya kijeshi

    Apr 18, 2017 03:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jina la baadhi ya majeshi duniani linakumbushia uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi nyingine, mauaji ya kimbari, kuunga mkono ugaidi, kufanya mapinduzi ya kijeshi na kutoheshimu matakwa ya wananchi wa nchi hizo, lakini jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima linatajwa kwa wema.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS