-
Rouhani: Iran haitachukua idhini kwa yeyote kuunda makombora na ndege
Apr 15, 2017 09:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imekuwa muathirika wa hujuma ya kiuoga na kwa msingi huo haitachukua idhini kutoka kwa yeyote katika kuimarisha vikosi vyake vya ulinzi hasa uundaji wa makombora na ndege za kivita.
-
Shakhsia wakubwa wa kisiasa na kidini Iran waandikisha majina yao kugombea urais; yumo Rais Rouhani na Raisi
Apr 14, 2017 11:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesajili jina lake kwenye Tume ya Uchaguzi kama mgombea wa duru ya 12 ya uchaguzi wa rais nchini.
-
Rouhani: Ushiriki mkubwa katika uchaguzi wa Iran utatuma ujumbe wa umoja na izza kwa ulimwengu
Apr 11, 2017 12:07Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ushiriki mkubwa wa wananchi katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao utawadhihirishia walimwengu namna Jamhuri ya Kiislamu ni taifa lenye izza, umoja na mshikamano.
-
Rais Rouhani: Shambulio la Marekani Syria lilikuwa kwa ajili ya kufidia kushindwa kwa magaidi
Apr 10, 2017 10:27Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la makombora lililofanywa na Marekani nchini Syria na kueleza kuwa: Shambulio hilo limefanywa kufidia kushindwa kwa magaidi nchini Syria na limewahamasisha magaidi hao kuendelea kufanya jinai zao nchini humo.
-
Rouhani na Putin walaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria
Apr 09, 2017 23:29Rais Hassan Rouhani wa Iran na mwenzake wa Russia Vladimir Putin wamelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusema kuwa kitendo hicho kilifanyika ili kuyapa motisha na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mazungumzo ya Simu ya Marais Rouhani wa Iran na Assad wa Syria
Apr 09, 2017 09:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine amelani uvamizi wa Marekani katika nchi huru ya Syria na kuitaja hatua hiyo kuwa ukiukwaji wa sheria na mikataba ya Umoja wa Mataifa.
-
Rouhani: Teknolojia ya Nyuklia ni dharura kwa Iran
Apr 09, 2017 09:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Teknolojia ya nyuklia ni dharura kwa taifa la Iran na sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kuendelelezwa hii teknolojia ni sisitizo sahihi."
-
Mafanikio mapya ya nyuklia ya Iran yazinduliwa na Rais Rouhani
Apr 09, 2017 02:57Mafanikio ya karibuni ya nyuklia ya Iran yamezinduliwa na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia.
-
Rouhani: Marekani inajifanya polisi na jaji wa dunia
Apr 08, 2017 03:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amelaani shambulio la Marekani katika kambi ya jeshi la anga nchini Syria na kusema kuwa, Washington inajifanya polisi na jaji wa dunia.
-
Usafirishaji nje bidhaa za Iran wapiku kiwango cha uingizaji bidhaa kutoka nje
Apr 06, 2017 10:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa mwaka jana, kiwango cha usafirishaji nje bidhaa za Iran kimekipiku kiwango cha kuingiza bidhaa kutoka nje ikiwa ni mara ya kwanza katika historia ya miaka 63 ya uchumi wa Iran. Amesema, hayo ni katika matunda mazuri ya uchumi wa muqawama.