-
Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa
Apr 04, 2017 11:46Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye treni ya chini ya ardhi katika mji wa St. Petersburg nchini Russia na kusisitiza kuwa kuutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa.
-
Rouhani: Moja ya malengo ya uchumi wa muqawama ni kutotetereshwa kiuchumi
Apr 03, 2017 11:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kusimama imara na kutotetershwa na mashinikizo ya nchi ajinabi ni moja ya malengo ya uchumi wa muqawama.
-
Rais Rouhani: Uenezaji chuki dhidi ya Uislamu na fikra za ukufurishaji vina chimbuko moja
Mar 28, 2017 22:27Rais Hassan Rouhani amesema uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), ubaguzi wa rangi na fikra za ukufurishaji chimbuko lao ni moja.
-
Marais wa Iran na Russia wasisitiza kustawishwa uhusiano wa nchi mbili
Mar 28, 2017 12:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na mwenzake wa Russia kuwa lengo la Iran na Russia ni kuimarisha amani na utulivu katika eneo.
-
Rouhani: Ushirikiano wa Iran, Russia unaweza kuleta usalama kieneo na kimataifa
Mar 27, 2017 23:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Tehran na Moscow unazidi kustawi na kuongeza kuwa, Iran inakaribisha kuimarishwa uhusiano wa kina na nchi jirani ikiwa ni pamoja na Russia.
-
Rouhani: Uhusiano wa Iran na Russia ni kwa manufaa ya eneo hili zima
Mar 27, 2017 09:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili leo Moscow, mji mkuu wa Russia akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Iran kwa ajili ya ziara rasmi ya siku mbili.
-
Rais Rouhani: Mwaka mpya ni mwaka wa maendeleo na ajira zaidi kwa vijana
Mar 20, 2017 11:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1396 Hijria Shamsia akisisitiza kwamba, ili kuwa na Iran yenye heshima na fahari, kuna ulazima wa kushikamana na kuwa pamoja.
-
Rais Rouhani: Tutaendeleza "uchumi wa muqawama" kwa nguvu zote
Mar 15, 2017 13:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua zilizochukuliwa na serikali yake za kufanikisha "uchumi wa muqawama" unaotegemea uwezo wa ndani ya Iran ni nzuri na ameahidi kuimarisha miundombinu ya uchumi huo.
-
Rais Rouhani: Vita vya sasa katika nyuga mbalimbali ni Vita vya Irada
Mar 08, 2017 12:54Rais Hassan Rouhani amesema hakuna silaha yoyote iliyo kubwa zaidi kuliko silaha ya imani, muqawama na umoja wa wananchi na akabainisha kwamba vita vya sasa katika nyuga mbalimbali ni vita vya irada.
-
Rais Rouhani: Chaguzi nchini Iran hufanyika kwa uhuru, salama, ushindani na demokrasia
Mar 07, 2017 12:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguzi nchini Iran hufanyika katika mazingira huru, salama, ya ushindani na kidemokrasia.