Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Uhusiano wa Iran na Azerbaijan unastawi na ni wa kistratijia

    Rouhani: Uhusiano wa Iran na Azerbaijan unastawi na ni wa kistratijia

    Mar 05, 2017 13:04

    Rais Hassan Rouhani amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Azerbaijan ni wa kiudugu na wa kistratijia na kuongeza kuwa kupiga hatua uhusiano wa baina ya pande mbili za Tehran na Baku kwa upande wa mawasiliano wa kisiasa, wa masuala ya kieneo, kimataifa na kiutamaduni ni wenye umuhimu.

  • Marais Rouhani na Erdogan wazungumzia uhusiano wa Iran na Uturuki

    Marais Rouhani na Erdogan wazungumzia uhusiano wa Iran na Uturuki

    Mar 01, 2017 12:04

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbali mbali likiwemo la umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili.

  • Rouhani: ECO itakuwa ufunguo wa maelewano ya Mashariki na Magharibi

    Rouhani: ECO itakuwa ufunguo wa maelewano ya Mashariki na Magharibi

    Mar 01, 2017 03:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mataifa yanayostawi kiuchumi barani Asia yataufanya uchumi wa dunia utoke Magharibi na kuelekea Mashariki na mabadiliko hayo yatapelekea bara hilo kuwa mbele katika karne ya 21.

  • Rais Rouhani: Uchaguzi ni nguvu kubwa ya Iran ya Kiislamu mbele ya maadui

    Rais Rouhani: Uchaguzi ni nguvu kubwa ya Iran ya Kiislamu mbele ya maadui

    Feb 25, 2017 04:47

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa uchaguzi ni nguvu kubwa ya Iran ya Kiislamu mkabala wa maadui wake na ameeleza matumaini kwamba, uchaguzi ujao hapa nchini utakuwa na ushindani mkali na kuwaacha bumbuazi maadui na kuwatia matumaini mema marafiki wa Iran kote duniani.

  • Rouhani: Israel ni utawala pandikizi mzaliwa wa Magharibi

    Rouhani: Israel ni utawala pandikizi mzaliwa wa Magharibi

    Feb 22, 2017 13:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina ndiyo kadhia muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na kwamba, utawala wa Kizayuni ni utawala pandikizi, mzaliwa wa Magharibi unaovunja haki za binadamu.

  • Rais Rouhani aonana na maspika wa nchi kadhaa akiwemo wa Uganda

    Rais Rouhani aonana na maspika wa nchi kadhaa akiwemo wa Uganda

    Feb 22, 2017 13:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na maspika wa nchi kadhaa pambizoni mwa Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina hapa mjini Tehran.

  • Uhusiano wa Iran na Oman wazidi kuimarika, Rais Rouhani atembelea Muscat

    Uhusiano wa Iran na Oman wazidi kuimarika, Rais Rouhani atembelea Muscat

    Feb 15, 2017 12:29

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuna ulazima wa kuimarishwa ushirikiano wa pande zote baina ya nchi za eneo hili, kama ambavyo kuna wajibu pia wa kupewa kipaumbele suala la kusimamisha vita na kusaidiwa wananchi wa Yemen.

  • Rouhani: Iran inataka kuboresha uhusiano na eneo zima

    Rouhani: Iran inataka kuboresha uhusiano na eneo zima

    Feb 15, 2017 04:34

    Rais wa Iran amesema kuwa nchi hii inataka kuboresha uhusiano katika eneo zima la Ghuba ya Uajemi na kwamba lengo la mwisho la Tehran ni kuona amani na uthabiti zaidi inakuwepo katika eneo hili na nchi zote zinastawi.

  • Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu yalipata ushindi pasina kutegemea kambi za Mashariki na Magharibi

    Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu yalipata ushindi pasina kutegemea kambi za Mashariki na Magharibi

    Feb 12, 2017 12:49

    Rais Hassan Rouhani amesema jukumu kubwa zaidi la kutatua matatizo ya jamii liko mikononi mwa Sayansi ya Jamii.

  • Rais Rouhani: EU itumie benki za Ulaya kufanya kazi na Iran

    Rais Rouhani: EU itumie benki za Ulaya kufanya kazi na Iran

    Feb 11, 2017 13:12

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran na Umoja wa Ulaya zinapaswa kushirikiana na wakati huo huo ametoa mwito kwa benki za Ulaya kuwa na uhusiano zaidi na Iran ili pande mbili ziweze kunufaika na maslahi ya pamoja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS