-
Rais Rouhani ampokea rasmi Waziri Mkuu wa Sweden
Feb 11, 2017 04:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran muda mchache uliopita amempokea rasmi katika ikulu ya Saad Abad mjini Tehran Stefan Löfven Waziri Mkuu wa Sweden aliyekuja hapa nchini kwa safari rasmi ya kikazi.
-
Rais Rouhani: Jibu la wananchi wa Iran kwa vitisho vya adui litakuwa kali
Feb 10, 2017 12:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawajaondoka katika njia na harakati ya kuyaunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu na kutimiza malengo ya Imam Ruhullah Khomeini na Kiongozi wa sasa wa Mapinduzi, Ayatullah Ali Khamenei.
-
Rouhani: Uwezo wa kijeshi wa Iran ni kwa ajili ya kujihami
Feb 10, 2017 04:57Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema uwezo mkubwa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ni kwa ajili ya kujihami na kulilinda taifa hili kutokana na chockochoko za maadui.
-
Rouhani: NAM iungane dhidi ya misimamo mikali ya upande mmoja
Feb 09, 2017 04:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo ushirikiano zaidi baina ya nchi wananchama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, akisisitiza kuwa mataifa huru yanafaa kuungana dhidi ya madola yenye kupenda kutoa maamuzi ya upande mmoja na misimamo ya kuchupa mipaka.
-
Rouhani: Makubaliano ya nyuklia ya Iran ni kwa maslahi ya pande zote
Feb 07, 2017 11:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na kundi la 5+1 ni kwa maslahi na manufaa ya pande zote zilizosaini mapatano hayo huko Vienna Julai mwaka 2015.
-
Rouhani: Iran inakaribisha kuimarika ushirikiano wake na Brazil
Feb 05, 2017 10:54Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono azma ya Brazil ya kutaka kuimarisha uhusiano na ushirikiano wake na Tehran katika nyuga tofauti.
-
Rouhani: Uongo wa madai ya Marekani ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran umethibitika
Feb 01, 2017 13:05Rais Hassan Rouhani amesema kuwabatilishia viza raia wa mataifa mengine ni hatua inayochukuliwa na watu wanagenzi katika ulingo wa siasa na kusisitiza kwamba uamuzi mpya uliopitishwa na serikali ya Marekani umethibitisha kuwa madai yake ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran ni uongo mtupu.
-
Rouhani: Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kukabili ugaidi
Feb 01, 2017 04:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa kimataifa unahitajika iwapo dunia inataka natija katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Kiwanda kikubwa zaidi cha kusaga nafaka Mashariki ya Kati chazinduliwa Iran
Jan 31, 2017 10:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua kiwanda kikubwa zaidi cha kusaga na kukoboa nafaka Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Iran sio nchi yenye hofu na chuki kwa wageni
Jan 30, 2017 04:52Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatumia muamala na uhusiano wake mzuri na nchi zingine kwa maslahi na manufaa ya taifa hili.