Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Iran ni nchi ya amani na ya kirafiki

    Rais Rouhani: Iran ni nchi ya amani na ya kirafiki

    Jan 28, 2017 10:17

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu daima katika kipindi chote cha histroia yake imekuwa ni yenye kufuatilia suala la kuweko amani na urafiki.

  • Rouhani: Nguvu za Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo

    Rouhani: Nguvu za Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo

    Jan 26, 2017 00:14

    Rais Hassan Rouhani amesema nguvu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo.

  • Rais Rouhani atembelea mahala pa ajali ya kuporomoka jengo; asema tukio hilo liwe ibra na funzo kwa viongozi

    Rais Rouhani atembelea mahala pa ajali ya kuporomoka jengo; asema tukio hilo liwe ibra na funzo kwa viongozi

    Jan 21, 2017 04:42

    Rais Hassan Rouhan wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema asubuhi ya leo akiwa amefuatana na mawaziri kadhaa wa serikali yake ametembelea eneo la ajali ya kuporomoka jengo la kibiashara la Plasco hapa mjini Tehran.

  • Iran itakabiliana na hatua za Marekani za kutaka kuvuruga mapatano ya nyuklia

    Iran itakabiliana na hatua za Marekani za kutaka kuvuruga mapatano ya nyuklia

    Jan 17, 2017 12:07

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iran itakabiliana na hatua ya Marekani ya kukiuka majukumu yake katika utekelezaji wa mapatano ya nyuklia yajulikanayo kwa jina la "Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA)."

  • Rais Rouhani: Ayatullah Rafsanjani alikuwa msaidizi imara wa Kiongozi Muadhamu

    Rais Rouhani: Ayatullah Rafsanjani alikuwa msaidizi imara wa Kiongozi Muadhamu

    Jan 16, 2017 04:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kuaga dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani aliyekuwa Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran, ni msiba mkubwa ambao umepelekea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kupoteza tegemeo lake kubwa."

  • Rouhani: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano wake na Albania

    Rouhani: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano wake na Albania

    Jan 15, 2017 11:09

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kipindi hiki cha baada ya vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa hili sambamba na kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya Vienna ni mwafaka kwa kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Albania.

  • Rouhani: Ushiriki mkubwa wa wananchi mazishi ya Rafsanjani ni alama ya umoja

    Rouhani: Ushiriki mkubwa wa wananchi mazishi ya Rafsanjani ni alama ya umoja

    Jan 13, 2017 11:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ushiriki mkubwa wa wananchi katika mazishi ya Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran ni alama ya umoja na mshikamano.

  • Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi

    Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi

    Jan 13, 2017 00:10

    Marais wa Iran na Uturuki wamesisitiza tena udharura wa kuimarishwa ushirikiano wa Tehran, Ankara na Moscow katika kuimarisha amani ya Mashariki ya Kati na kupambana na ugaidi.

  • Shughuli ya kuuaga mwili wa Ayatullah Rafsanjani yafanyika na kuhudhuriwa na Rais Rouhani

    Shughuli ya kuuaga mwili wa Ayatullah Rafsanjani yafanyika na kuhudhuriwa na Rais Rouhani

    Jan 09, 2017 04:32

    Shughuli ya kuuaga mwili wa Al-Marhum Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu imefanyika mapema leo kwa kuhudhuriwa na Rais Hassan Rouhani, viongozi mbalimbali wa vyombo vya serikali na vya ulinzi pamoja na wananchi wa matabaka tofauti.

  • Rouhani: Iran inapinga jaribio lolote la kuzigawa nchi za Mashariki ya Kati

    Rouhani: Iran inapinga jaribio lolote la kuzigawa nchi za Mashariki ya Kati

    Jan 02, 2017 03:46

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hii leo nchi nyingi zimekiri na kukubali mchango na nafasi yenye taathira kubwa ya Jamhuri ya Kiislamu katika kuimarisha amani na utulivu kwenye eneo la Mashariki ya Kati na kwamba, Iran imekwamisha njama za kutaka kuzigawa nchi za ene hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS