Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Korea Kusini katika ikulu ya Sa'dabad

    Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Korea Kusini katika ikulu ya Sa'dabad

    May 02, 2016 03:20

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran asubuhi ya leo amempokea rasmi katika ikulu ya Sa'dabad Bi Park Geun-hye Rais wa Korea Kusini.

  • Iran: Ulaya itoe ushirikiano katika kupambana na ugaidi na utekelezaji wa JCPOA

    Iran: Ulaya itoe ushirikiano katika kupambana na ugaidi na utekelezaji wa JCPOA

    Apr 30, 2016 11:47

    Rais Hassan Rouhani ameutaka Umoja wa Ulaya utoe ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi na kusisitizia ulazima wa kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia (JCPOA).

  • Rais Rouhani: Utawala wa wananchi ni moja ya fahari kubwa kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Rais Rouhani: Utawala wa wananchi ni moja ya fahari kubwa kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Apr 28, 2016 23:37

    Rais Hassan Rouhani amesema utawala unaotokana na ridhaa ya wananchi ni moja ya fahari kubwa kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na Afrika Kusini

    Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na Afrika Kusini

    Apr 24, 2016 12:29

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema watu wa Iran walisimama bega kwa bega na kuwaunga mkono wazalendo wa Afrika Kusini wakati wakipambana na utawala wa makaburuwabaguzi wa rangi.

  • Rais Rouhani ampokea rasmi Rais Zuma wa Afrika Kusini

    Rais Rouhani ampokea rasmi Rais Zuma wa Afrika Kusini

    Apr 24, 2016 03:26

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempokea rasmi mwenzake wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ikiwa ni safari ya kwanza kwa rais huyo kuitembelea nchi hii tangu baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na nchi zinazounda kundi 5+1.

  • Rais Rouhani: Kutunza mazingira ni jukumu la kiutu, kijamii, kidini na kiutamaduni

    Rais Rouhani: Kutunza mazingira ni jukumu la kiutu, kijamii, kidini na kiutamaduni

    Apr 23, 2016 11:41

    Rais Hassan Rouhani amesema mchango wa dini una taathira katika kukuza utamaduni wa kutunza na kuhifadhi mazingira katika jamii za wanadamu.

  • Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran leo

    Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran leo

    Apr 22, 2016 23:50

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.

  • Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran Jumamosi

    Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran Jumamosi

    Apr 22, 2016 11:53

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya kesho akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.

  • Rouhani na al Abadi wajadili mapambano dhidi ya ugaidi

    Rouhani na al Abadi wajadili mapambano dhidi ya ugaidi

    Apr 21, 2016 00:53

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri Mkuu wa Iraq wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili hali ya sasa ya Mashariki ya Kati husuan mipango ya serikali ya Iraq ya kurejesha amani nchini humo na kupambana na ugaidi.

  • Rais Rouhani: Iran imesambaratisha chuki dhidi ya Uislamu

    Rais Rouhani: Iran imesambaratisha chuki dhidi ya Uislamu

    Apr 19, 2016 10:58

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limesambaratisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Iran

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS