Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Umoja, dawa mjarabu ya kuzima ugaidi

    Rais Rouhani: Umoja, dawa mjarabu ya kuzima ugaidi

    Apr 17, 2016 10:51

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuenea jinai na ugaidi ni katika changamoto kuu zinaolikabili eneola Mashariki ya Kati na dunia nzima kwa ujumla na hivyo kuna haja ya watu wa dini mbali mbali kushirikiana kwa lengo la kukabiliana na matatizo hayo.

  • Mtazamo wa Rais Rouhani kuhusu jukumu la Iran na Uturuki katika usalama wa kieneo

    Mtazamo wa Rais Rouhani kuhusu jukumu la Iran na Uturuki katika usalama wa kieneo

    Apr 17, 2016 03:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika kikao cha pamoja cha waandishi habari na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Ankara na kusema kuleta uthabiti na usalama katika eneo ni jukumu la kisheria la nchi hizi mbili.

  • Rouhani asema ugaidi, Uzayuni ni tishio kwa Waislamu duniani

    Rouhani asema ugaidi, Uzayuni ni tishio kwa Waislamu duniani

    Apr 16, 2016 23:38

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ugaidi na Uzayuni ni tishio kubwa zaidi kwa ulimwengu wa Kiislamu.

  • Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na OIC

    Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na OIC

    Apr 16, 2016 11:36

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran itaendelea kuwa pamoja na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) maadamu jumuiya hiyo inashikamana na malengo yake ya asili.

  • Rais Rouhani afanya mazungumzo na viongozi wa nchi kadhaa pembeni ya kikao cha OIC

    Rais Rouhani afanya mazungumzo na viongozi wa nchi kadhaa pembeni ya kikao cha OIC

    Apr 14, 2016 23:41

    Rais Hassan Rouhani amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Azerbaijan, Afghanistan, Algeria, Oman na Indonesia pembeni ya kikao cha 13 cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kinachofanyika mjini Istanbul, Uturuki.

  • Rais Rouhani ahutubia kikao cha viongozi wa OIC

    Rais Rouhani ahutubia kikao cha viongozi wa OIC

    Apr 14, 2016 09:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Rais wa Iran kushiriki kongamano la OIC mjini Istanbul, Uturuki

    Rais wa Iran kushiriki kongamano la OIC mjini Istanbul, Uturuki

    Apr 13, 2016 03:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hii leo anatazamiwa kuelekea mjini Istanbul nchini Uturuki kushiriki Kongamano la 13 la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).

  • Waziri Mkuu wa Italia atembelea Iran kuhuisha uhusiano

    Waziri Mkuu wa Italia atembelea Iran kuhuisha uhusiano

    Apr 12, 2016 11:35

    Rais Hassan Rouhani amesema kuwa Iran inataka kuona uhusiano wa kibiashara na Italia unafika kiwango kilichokuwepo kabla ya nchi hii kuwekewa vikwazo vya nyuklia.

  • Rais Rouhani asisitiza irada imara kukabiliana na ugaidi

    Rais Rouhani asisitiza irada imara kukabiliana na ugaidi

    Apr 11, 2016 00:16

    Rais Hassan Rouhani wa Iran kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za pamoja kukabiliana na makundi ya kigaidi.

  • Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia; Jitihada za Kujitosheleza

    Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia; Jitihada za Kujitosheleza

    Apr 07, 2016 06:45

    Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia yamefanyika leo katika hafla maalumu iliyodhuhuriwa na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran sambamba na kuzinduliwa mafanikio kadhaa ya nyuklia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS