-
Hatua mpya ya Wamagharibi ya kuchochea moto wa vita vya Ukraine
Nov 18, 2024 11:13Rais wa Marekani, Joe Biden ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka ya Russia ya kabla ya 2014. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya jana Jumapili iliyotolewa na gazeti la New York Times likiwanukuu maafisa wa Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao.
-
Russia yaitahadharisha Ufaransa kuhusu kutuma makombora Ukraine
Nov 15, 2024 03:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu Ufaransa kutuma makombora nchini Ukraine.
-
Iran, Russia na Uturuki zalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Nov 13, 2024 02:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja zikilaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na mashambulizi ya utawala huo ghasibu dhidi ya Lebanon na Syria.
-
Lavrov akosoa jitihada za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya Russia
Nov 11, 2024 12:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa vikali njama za nchi za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya nchi hiyo.
-
Zaidi ya mawaziri 40 wa Afrika wakutana nchini Russia
Nov 09, 2024 10:38Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano wa Russia na Afrika umeanza leo katika mji wa pwani wa Sochi, kusini mwa Russia; kuashiria muundo mpya wa kawaida wa mazungumzo kufuatia mikutano ya kilele kati ya pande mbili hizo.
-
Israel yaililia Russia iwe mpatanishi kati yake na Hizbullah
Nov 02, 2024 11:14Israel sasa inaiasa Russia eti ishiriki katika 'juhudi za amani' zinazolenga kumaliza mzozo kati ya utawala huo wa Kizayuni na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Lavrov: Mkataba wa ushirikiano wa ulinzi kati ya Russia na Iran utatiwa saini hivi karibuni
Nov 01, 2024 07:09Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia ametangaza kuwa makubaliano ya ushirikiano wa pamoja wa ulinzi kati ya Moscow na Tehran yatatiwa saini hivi karibuni.
-
Pezeshkian: Uhusiano wa Iran na Russia ni wa kimkakati, wenye manufaa makubwa
Oct 24, 2024 02:43Rais Masoud Pezeshkian amesema uhusiano wa Iran na Russia ni "wa kimkakati na wenye manufaa makubwa."
-
UPSR: Afrika inajua kuwa BRICS imebadilisha mlingano wa jiopolitiki duniani
Oct 24, 2024 02:19Kiongozi mwandamizi wa chama kimoja cha upinzani nchini Cameroon amesema jumuiya ya BRICS ni mbadala halisi wa kuleta mlingano kwenye jiopolitiki duniani na kusisitiza kwamba, nchi za Afrika zinaelewa fika suala hili.
-
Onyo la Russia kwa Israel: Msithubutu kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran
Oct 18, 2024 02:52Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel na kuutaka usijaribu hata kufikiria kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran.