-
Russia: Ulaya ni mtumwa na mfuasi aliyesalimu amri kwa Marekani
Feb 24, 2023 10:21Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba Ulaya haijawahi kunyenyekea na kuwa mtumwa wa Marekani kiasi hiki cha sasa katika kipindi chote cha historia.
-
Nebenzya: Mlipuko wa Nord Stream ni ugaidi wa kimataifa
Feb 22, 2023 23:03Mwakilishi wa Kudumu wa Shirikisho la Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa milipuko iliyotokea kwenye mabomba ya gesi ya Nord Stream 1 na Nord Stream 2 ni ugaidi wa kimataifa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda: Wakoloni wanatutaka tuwe maadui wa Russia
Feb 19, 2023 23:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema, nchi yake haitayumbishwa na mashinikizo yanayotolewa na wakoloni wa zamani katika nchi za Magharibi ya kuitaka iwe dhidi ya Russia, ikizingatiwa kuwa uhusiano wa muda mrefu wa pande mbili na Moscow ni muhimu sana kwa Kampala.
-
Nebenzya: Nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza Russia
Feb 19, 2023 08:20Vasily Alekseyevich Nebenzya, Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza nchi yake, hivyo Moscow haina chaguo jingine isipokuwa kujihami kwa ajili ya kulinda utambulisho na mustakbali wake.
-
Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran
Feb 17, 2023 23:07Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa, matamshi ya viongozi wa China kuhusiana na kuwa na urafiki usio na mipaka na Russia yamepelekea kuibuka wasiwasi nchini Marekani.
-
Russia, China na Afrika Kusini zatunisha misuli katika maneva ya pamoja ya kijeshi
Feb 17, 2023 10:41Russia imetangaza kuwa itashiriki katika mazoezi ya pamoja ya wanamaji na nchi za China na Afrika Kusini katika Bahari ya Hindi.
-
Lukashenko: Belarus itaungana na Russia katika vita vya Ukraine ikishambuliwa
Feb 16, 2023 23:19Rais Alexander Lukashenko wa Belarus ameonya kuwa, iwapo nchi hiyo itashambuliwa, basi haitakuwa na budi kuungana na Russia katika vita dhidi ya Ukraine.
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 11, 2023 23:04Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
Mwito wa Russia wa kufuatiliwa jinai za Marekani na Uingereza nchini Iraq
Feb 10, 2023 00:36Vasily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Jumatano ya juzi na ikiwa ni siku tatu baada ya kumbukumbu ya mwaka wa uongo mkubwa wa Marekani dhidi ya Iraq alisema kuwa, lazima watenda jinai Wamarekani na Waingereza wapandishwe kizimbani kwa jinai zao nchini humo.
-
Spika wa Bunge la Russia: Rais Biden wa Marekani ni "gaidi" kwa kuamuru Nord Stream iripuliwe
Feb 09, 2023 22:55Spika wa Bunge la Russia Vyacheslav Volodin amesema, Rais Joe Biden wa Marekani ni gaidi kutokana na kutoa amri ya kutekelezwa hujuma ya kubomoa muundombinu wa nishati barani Ulaya.