Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Hakuna Mwafrika anayepigana kwa niaba ya Moscow nchini Ukraine

    Russia: Hakuna Mwafrika anayepigana kwa niaba ya Moscow nchini Ukraine

    Apr 14, 2022 23:33

    Balozi wa Russia nchini Kenya amekadhibisha madai kuwa Moscow imekodisha mamluki wa Kiafrika kwenda kupigana kwa niaba yake nchini Ukraine.

  • Mfumko wa bei za bidhaa Marekani umesababishwa na vikwazo dhidi ya Russia

    Mfumko wa bei za bidhaa Marekani umesababishwa na vikwazo dhidi ya Russia

    Apr 14, 2022 23:30

    Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa, vikwazo vya Washington dhidi ya Russia vimekuwa chachu ya kushadidisha mfumko wa bei za bidhaa unaoshuhudiwa nchini Marekani.

  • Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Apr 12, 2022 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema lengo la operesheni maalumu ya Moscow nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani.

  • Khatibzadeh: Marekani bado haijaonyesha nia ya kufikia makubaliano

    Khatibzadeh: Marekani bado haijaonyesha nia ya kufikia makubaliano

    Apr 11, 2022 03:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, Marekani bado haijaonyesha nia ya kutosha ya kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea huko Vienna nchini Austria na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiathiriwi na kampeni za vyombo vya habari na matamshi yanayokinzana.

  • Konashenkov: Russia imeangamiza mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine

    Konashenkov: Russia imeangamiza mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine

    Apr 11, 2022 03:14

    Igor Konashenkov Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, makombora ya nchi hiyo yamevunjilia mbali mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine katika maeneo mawili.

  • Umoja wa Ulaya wachochea vita Ukraine: Mchezo wa Brussels kwenye uwanja wa Washington

    Umoja wa Ulaya wachochea vita Ukraine: Mchezo wa Brussels kwenye uwanja wa Washington

    Apr 11, 2022 00:32

    Huku akisema kuwa mvutano kati ya Ukraine na Russia utamalizikia tu katika medani ya vita, Joseph Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kutatuliwa kijeshi mzozo uliopo kati ya pande hizo.

  • Russia yalipiza kisasi, yawafukuza wanadiplomasia 45 wa Poland

    Russia yalipiza kisasi, yawafukuza wanadiplomasia 45 wa Poland

    Apr 09, 2022 02:36

    Wizara ya Mambo ya Nje wa Russia imetangaza kuwa imewafukuza wanadiplomasia 45 wa Polanda waliokuweko nchini humo ikiwa ni majibu ya hatua kama hiyo iliyochukuliwa na nchi za Magharibi dhidi yake.

  • Russia: Kusimamishwa uanachama wa Moscow HRC kunaonesha ubeberu wa Marekani

    Russia: Kusimamishwa uanachama wa Moscow HRC kunaonesha ubeberu wa Marekani

    Apr 08, 2022 03:49

    Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa anasema kuwa upigaji kura wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kusimamisha uanachama wa Russia katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa unaonyesha juhudi za Marekani kudumisha msimamo wake wa kibeberu.

  • Serikali ya Brazil yakosoa vikwazo vya kiuchumi vya Magharibi dhidi ya Russia

    Serikali ya Brazil yakosoa vikwazo vya kiuchumi vya Magharibi dhidi ya Russia

    Apr 07, 2022 22:15

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil imekosoa vikwazo vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia.

  • Sisitizo la Putin la kutazamwa upya siasa za kuuzwa nje bidhaa za chakula za Russia

    Sisitizo la Putin la kutazamwa upya siasa za kuuzwa nje bidhaa za chakula za Russia

    Apr 06, 2022 21:26

    Katika hotuba aliyotoa siku ya Jumanne, Rais Vladimir Putin wa Russia amelaani mashinikizo yanayotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya shirika la Gazprom, ambalo husafirisha gesi ya nchi hiyo kwenda Ulaya, na kutishia kuchukua hatua za kulipiza kisasi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS