Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Spika wa Bunge la Russia: Rais wa Ukraine amekimbilia Poland

    Spika wa Bunge la Russia: Rais wa Ukraine amekimbilia Poland

    Mar 05, 2022 04:02

    Spika wa Bunge la Russia maarufu kwa jina la Duma amesema kuwa, Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amekimbilia nchi jirani ya Poland.

  • Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine

    Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine

    Mar 04, 2022 04:34

    Wakazi wa mji mkuu wa Lebanon, Beirut wamefanya maandamano wakishirikiana na Warussia wanaoishi nchini humo wakiunga mkono operesheni ya Jeshi la Russia dhidi ya "mafashisti wa Ukraine".

  • Russia: Tumeangamiza zaidi ya vituo 1,300 vya kijeshi vya Ukraine katika siku ya sita ya vita

    Russia: Tumeangamiza zaidi ya vituo 1,300 vya kijeshi vya Ukraine katika siku ya sita ya vita

    Mar 02, 2022 03:51

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa katika siku ya sita ya opereseheni yake ya kijeshi nchini Ukraine imeangamiza vituo zaidi ya 1,300 vya kijeshi vya Ukraine na aina kwa aina ya miundombinu ya kijeshi ya nchi hiyo.

  • Raia wa Russia wakwama na kutangatanga katika viwanja vya ndege vya nchi za Ulaya

    Raia wa Russia wakwama na kutangatanga katika viwanja vya ndege vya nchi za Ulaya

    Mar 02, 2022 00:06

    Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa, raia wa nchi hiyo wanatangatanga katika viwanja vya ndege vya nchi za Ulaya kufuatia uamuzi wa Umoja wa Ulaya kuiwekea Russia vikwazo vya anga.

  • Mazungumzo ya Russia na Ukraine yamalizika huko Belarus, haijulikani kama yataendelea au la

    Mazungumzo ya Russia na Ukraine yamalizika huko Belarus, haijulikani kama yataendelea au la

    Feb 28, 2022 10:22

    Televisheni ya taifa ya Russia imetangaza kuwa duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya wajumbe wa nchi hiyo na Ukraine imemalizika nchini Belarus, lakini haijafahamika iwapo mazungumzo hayo yataendelea au la.

  • Zakharova: Oparesheni za Kijeshi za Russia nchini Ukraine si uvamizi

    Zakharova: Oparesheni za Kijeshi za Russia nchini Ukraine si uvamizi

    Feb 27, 2022 04:27

    Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, muungano wa kijeshi wa NATO haupaswi kuzitaja oparesheni za kijeshi za Russia nchini Ukraine kuwa ni uvamizi.

  • Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Feb 27, 2022 00:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.

  • Umoja wa Afrika wataka kusimamishwa mgogoro wa Ukraine

    Umoja wa Afrika wataka kusimamishwa mgogoro wa Ukraine

    Feb 25, 2022 11:17

    Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kusimamishwa haraka iwezekanavyo mgogoro wa Ukraine.

  • Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Feb 25, 2022 10:03

    Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.

  • Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule

    Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule

    Feb 25, 2022 03:26

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita si suluhisho la tatizo lolote lile. Amesema hayo ikiwa ni kutangaza msimamo wa serikali ya Iran kuhusu vita baina ya Russia na Ukraine huko mashariki mwa Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS