-
Iran yapinga kutumiwa haki za binadamu kama chombo dhidi ya nchi zingine
Feb 24, 2022 23:48Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran amekutana na mabalozi wa Russia na China nchini Iran ambapo wametangaza kwa pamoja kupinga kutumiwa vibaya kadhia ya haki za binadamu kama chombo cha kuyashinikiza mataifa mengine.
-
Oparesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine, sababu na matokeo yake
Feb 24, 2022 07:30Rais Vladimir Putin wa Russia mapema Alhamisi amehutubia taifa katika televisheni na kutangaza kuwa, vikosi vya nchi yake vimeanza oparesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbass ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine. Punde baada ya kutangaza oparesheni hiyo ya kijeshi, Putin ametaka kusitishwe 'muundo wa kijeshi' Ukraine na kuitaka nchi hiyo iweke chini silaha zake.
-
Vikwazo vya kimaonyesho vya Magharibi dhidi ya Russia kwa kisingizio cha mgogoro wa Ukraine
Feb 23, 2022 23:22Tangazo la Russia la kutambua rasmi uhuru wa Jamhuri za watu wa Donetsk na Luhansk huko mashariki mwa Ukraine limeibua hisia kali za nchi za Magharibi.
-
Russia yafanya mazoezi ya kijeshi ya nyuklia huku NATO ikisema haiwezi kukidhi matakwa ya Moscow
Feb 19, 2022 23:22Kwa amri ya Rais Vladimir Putin, jeshi la Russia limefanya mazoezi ya kistratejia ya kijeshi ambayo yameshirikisha vikosi vya nyuklia na makombora ya balestiki vya nchi hiyo huku hali ikiendelea kuwa tete katika mgogoro wa nchi hiyo na Ukraine.
-
Russia yamfukuza Naibu Balozi wa Marekani mjini Moscow
Feb 17, 2022 23:37Russia imemtimua mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani nchini humo, wakati huu ambapo nchi mbili hizo zinaendelea kuzozana kuhusu madai ya Wamagharibi kuwa serikali ya Moscow ina azma ya kuivamia kijeshi Ukraine.
-
Russia: Hatutaki vita barani Ulaya wala Ukraine
Feb 16, 2022 03:40Rais wa Russia amesema kuwa nchi yake haitaki kutokee vita barani Ulaya wala nchini Ukraine na ni kwa sababu hiyo ndio maana imetoa pendekezo la kudhaminiwa usalama wa eneo hilo.
-
Zelensky adai: Russia itaishambulia Ukraine siku ya Jumatano
Feb 14, 2022 23:31Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amedai kuwa Russia itatekeleza shambulio dhidi ya Kiev siku ya Jumatano.
-
Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna
Feb 13, 2022 08:40Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa kuhudhuriwa pia na wakuu wa timu za mazungumzo wa Iran na Russia.
-
Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya
Feb 12, 2022 06:43Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia wasisitiza juu ya utekezaji sahihi wa JCPOA
Feb 09, 2022 02:47Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia wamesisitiza juu ya udharura wa kutekelezwa kwa usahihi mapatano ya JCPOA sambamba na kuanza marhala mpya ya duru ya nane ya mazungumzo ya Vienna.