Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Makundi yanayoungwa mkono na Saudia yakasirishwa na nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano tena na Syria

    Makundi yanayoungwa mkono na Saudia yakasirishwa na nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano tena na Syria

    Jan 07, 2019 04:17

    Makundi ya wanamgambo nchini Syria yanayoungwa na mkono na Saudi Arabia yamekasirishwa na hatua ya mataifa ya Kiarabu ya kuanzisha tena uhusiano wao na serikali ya Syria inayoongozwa na Rais Bashar al-Assad.

  • Guardian: Saudia ndiyo yenye rekodi mbaya zaidi ya haki za binadamu duniani

    Guardian: Saudia ndiyo yenye rekodi mbaya zaidi ya haki za binadamu duniani

    Jan 05, 2019 23:06

    Gazeti la Uingereza la The Guardian limeripoti kuwa Saudi Arabia ndiyo yenye rekodi mbaya zaidi ya haki za binadamu duniani.

  • Wanawake wafungwa wa kisiasa Saudi Arabia wakabiliwa na mateso makali

    Wanawake wafungwa wa kisiasa Saudi Arabia wakabiliwa na mateso makali

    Jan 04, 2019 23:11

    Wafungwa wa kisiasa waliopo jela nchini Saudi Arabia wanakabiliwa na mateso makali zaidi wanayofanyiwa kwa kutumia njia mbalimbali.

  • Wimbi jipya la mabadiliko katika serikali ya Saudia na kuzidi kuwa tete anga ya kisiasa ya nchi hiyo

    Wimbi jipya la mabadiliko katika serikali ya Saudia na kuzidi kuwa tete anga ya kisiasa ya nchi hiyo

    Dec 28, 2018 21:36

    Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia, siku ya Alkhamisi alitoa amri ya dharura ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri la nchi hiyo.

  • Saudia yatishia kuwaadhibu raia wake waliokwenda Russia na kukataa kurudi nyumbani

    Saudia yatishia kuwaadhibu raia wake waliokwenda Russia na kukataa kurudi nyumbani

    Dec 28, 2018 03:31

    Ubalozi wa Saudia mjini Moscow umetishia kuwa, Riyadh itawaadhibu vikali raia wa nchi hiyo waliokwenda kwenye mashindano ya fainali za kombe la dunia la mpira wa miguu nchini Russia na hadi hivi sasa wanang'ang'ania kubakia huko huko hawataki kurudi nchini Saudi Arabia.

  • Kukiuka Saudi Arabia makubaliano ya Sweden

    Kukiuka Saudi Arabia makubaliano ya Sweden

    Dec 18, 2018 07:57

    Baada ya kupita siku tano tangu kufikiwa makubaliano baina ya makundi ya Yemen, Saudi Arabia imeendelea kukiuka makubaliano hayo.

  •  Erdogan: Muuaji wa Khashoggi alisikika akisema 'Najua Namna ya Kukata'

    Erdogan: Muuaji wa Khashoggi alisikika akisema 'Najua Namna ya Kukata'

    Dec 15, 2018 11:07

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amefichua kuwa katika sehemu ya faili la sauti kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi, mmoja kati ya wauaji wa mpinzani huyo wa utawala wa Saudia alisikika akijigamba kuwa, 'Najua namna ya kukata.'

  • Saudia imekiuka mapatano ya Hudaydah, Yemen mara 21 masaa 24 yaliyopita

    Saudia imekiuka mapatano ya Hudaydah, Yemen mara 21 masaa 24 yaliyopita

    Dec 15, 2018 11:00

    Saudi Arabia imekiuka mapatano ya amani ya Yemen kwa kutuma ndege zake za kivita kushambulia eneo la Hudaydah mara 21 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.

  • Malengo ya Saudi Arabia ya kuanzisha mfumo maalumu wa kisheria wa nchi za Bahari Nyekundu

    Malengo ya Saudi Arabia ya kuanzisha mfumo maalumu wa kisheria wa nchi za Bahari Nyekundu

    Dec 14, 2018 03:01

    Serikali ya ukoo wa Aal Saud ya nchini Saudi Arabia imetangaza habari ya kuanzishwa mfumo maalumu wa kisheria wa nchi za Bahari Nyekundu.

  • Seneta Graham: Marekani ndiyo inayoulinda utawala wa Saudi Arabia

    Seneta Graham: Marekani ndiyo inayoulinda utawala wa Saudi Arabia

    Dec 10, 2018 23:07

    Seneta mashuhuri wa chama cha Republican nchini Marekani amezungumzia udhaifu wa jeshi la Saudi Arabia na kusema kuwa: Marekani ndiyo inayolinda utawala wa kifalme wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS