-
Saudia na Uingereza zasaini mkataba wa kijeshi huku Riyadh ikiendelea kuteketeza roho za Wayemeni
Sep 20, 2017 02:59Saudi Arabia na Uingereza zimesaini mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na kiusalama.
-
Njama mpya za Saudi Arabia dhidi ya Qatar
Sep 19, 2017 01:39Mwanamfalme, Abdullah bin Ali Aal Thani kutoka familia ya kifalme ya Qatar amekosoa siasa za Amir wa nchi hiyo, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani na kumtaka aitishie kikao cha kitaifa cha kujadili mgogoro wa nchi hiyo.
-
Utawala wa Aal-Saud wapatwa na kiwewe cha upinzani, wafunga misikiti hadi mjini Riyadh
Sep 15, 2017 09:46Askari wa utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia wamevamia misikiti ya miji mbalimbali kuanzia, Qatif, Ta'if, Unaizah na Riyadh na kuifunga, kutokana na wasi wasi wake wa kuibuka maandamano ya raia kupinga mienendo ya utawala huo.
-
Harakati ya "Septemba 15" yatoa wito wa kufanyika maandamano makubwa Saudia
Sep 13, 2017 23:25Harakati ya Septemba 15 inayoendesha harakati za amani za upinzani nchini Saudi Arabia imetoa wito kwa wapinzano wote wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo kushiriki kwenye maandamano ya kupigania matakwa ya wananchi.
-
Hizbullah: Saudia imekiri yenyewe kwamba imeshindwa nchini Syria
Sep 11, 2017 03:52Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa, hatua ya Wizara ya Mambo ya Nje ya SaudiArabia ya kukubali kuanzishwa maeneo ya kupunguza mivutano nchini Syria, ina maana ya kukiri wazi Riyadh juu ya kushindwa kwake nchini Syria.
-
New York Times: Mgogoro wa Qatar umemshinda Trump
Sep 10, 2017 10:04Gazeti la New York Times la nchini Marekani limesema kuwa, rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameshindwa kutatua mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia.
-
Saudia yakosolewa kwa kunyamazia kimya mauaji ya halaiki ya Waislamu wa Myanmar
Sep 09, 2017 12:01Mkuu wa Umoja wa Maulama wa Muqawama Duniani, amesema kutokuwa na uhusiano na Uwahabi Waislamu wa Myanmar ndio sababu Saudi Arabia kunyamazia kimya mauaji ya halaiki ya Waislamu hao wa Rohingya yanayofanywa na askari wa Myanmar.
-
Saudia yaishinikiza Kuwait imkatae balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia
Sep 09, 2017 11:59Utawala wa Saudi Arabia umeendeleza mashinikizo mbalimbali dhidi ya serikali ya Kuwait, ikiitaka nchi hiyo kuikataa barua ya utambulisho wa Rayan Said, balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia aliyetumwa nchini humo.
-
Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar
Sep 08, 2017 14:24Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa hakuna matumaini ya kuona taasisi za kimataifa zikisaidia kuzuia mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na ameyataka mataifa ya Kiislamu kuamka na kusimama kidete dhidi ya jinai zinazofanywa na jeshi na Mabudha wa nchi hiyo.
-
Qatar yashikilia msimamo wa kupinga masharti 13 ya Saudia ya kuanzisha tena uhusiano
Sep 08, 2017 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammad bin Abdulrahman Aal Thani amesema, masharti 13 yaliyowekwa na tawala za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia ambazo zimeiwekea nchi yake vikwazo, hayakubaliki kwani yanalenga kuhujumu mamlaka ya kijitawala Qatar.