-
Uingereza yaendelea kuiuzia silaha Saudia licha ya upinzani mkali wa kimataifa
Feb 13, 2017 04:20Ripoti iliyofichuliwa nchini Uingereza imeonesha kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ameitaka serikali ya London kuendelea kuuzia silaha utawala wa Saudi Arabia unaoua watu wasio na hatia wa Yemen hususan wanawake na watoto wadogo.
-
Misri iliwasiliana na Israel kabla ya kuikabidhi Saudia visiwa vya Tiran na Sanafir
Feb 12, 2017 03:41Rekodi iliyovuja ya mazungumzo ya simu imefichua kuwa Misri iliwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kupata baraka na uungaji mkono wake kabla ya kusaini muafaka wa kuikabidhi Saudi Arabia visiwa vyake viwili vya Sanafir na Tiran.
-
CIA yaipa Saudia tuzo ya "kupambana na ugaidi"
Feb 11, 2017 23:29Shirika Kuu la Kijasusi Marekani (CIA) limempa tuzo Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudi Arabia, Mohammad bin Nayef kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni "kazi zake za kijasusi katika vita dhidi ya ugaidi."
-
Aal-Saud wawaekea vizuizi Waislamu wa Shia wasiende Karbala kumzuru mjukuu wa Mtume (saw)
Feb 09, 2017 13:01Utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia, umeendeleza ukandamizaji na mashinikizo dhidi ya Waislamu wa Shia wa nchi hiyo, mara hii ukiwazuia wanaume walio na umri chini ya miaka 40 kufanya safari nchini Iraq kwa lengo la kumzuru al-Imamul-Hussein, mjukuu wa Mtume Muhammad (saw).
-
Ubelgiji: Saudia inaeneza fikra za Uwahabi barani Ulaya
Feb 09, 2017 03:48Ubelgiji imeeleza wasi wasi wake juu ya kuenea kwa kasi mwangwi wa Uwahabi katika nchi hiyo na kote bara Ulaya kwa ujumla.
-
HRW yatiwa wasiwasi na kuongezeka mateso Saudi Arabia
Feb 07, 2017 03:39Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema linatiwa wasiwasi na kuongezeka pakubwa mateso nchini Saudia.
-
Misri yawaongezea muda wanajeshi wake katika muungano vamizi wa Saudia huko Yemen
Feb 05, 2017 23:11Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri ameongeza muda wa ushiriki wa wanajeshi wa nchi hiyo katika vita huko Yemen vinavyoongozwa na utawala wa Saudi Arabia.
-
Saudi Arabia yazuia msaada wa chakula kufikishiwa wananchi wa Yemen
Feb 03, 2017 01:09Utawala wa Saudi Arabia umezuia kufikishiwa misaada ya chakula kwa wananchi wa Yemen baada ya kuizuia katika bandari ya al-Hadida meli iliyokuwa imebeba shehena ya chakula kwa ajili ya wananchi wa nchi hiyo.
-
Yemen: Hadi sasa tumeangamiza asilimia 20 ya manuwari za Saudia
Feb 02, 2017 10:21Mkuu wa Baraza la Kisiasa nchini Yemen amesema kuwa, jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah limefanikiwa kuangamiza asilimia 20 ya manuwari za Saudi Arabia, wakati manuwari hizo zilipokuwa zikijaribu kukaribia pwani za nchi hiyo.
-
Mwanadiplomasia wa Saudia apatikana na hatia ya kubaka, kulawiti
Feb 02, 2017 04:39Mahakama moja nchini Singapore imempata mwanadiplomasia wa Saudi Arabia, na hatia ya kubaka na kulawiti mhudumu mmoja wa hoteli kusini mwa nchi hiyo ya bara Asia.