Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

sauti

  • Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    Jan 27, 2018 04:30

    Kama ilivyo kwa sehemu nyingine, wiki hii iliyomalizikia na Ijumaa, kulikuwa na matukio mengi ya Kiislamu katika eneo la Afrika Mashariki. Mwandishi wa Radio Tehran visiwani Zanzibar, Harith Subeit amekusanya baadhi ya matukio hayo na kutuandalia ripoti hiyo hapo juu.

  • Miaka 25 ya Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania + Sauti

    Miaka 25 ya Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania + Sauti

    Jan 23, 2018 05:03

    Chama cha WAnanchi CUF cha nchini Tanzania kimetimiza miaka 25 ya kuasisiwa kwake kikiwa kinakabiliwa na changamoto nyingi za kila upande. Mwandishi wa Radio Tehran, Harith Subeit ametuandalia ripoti ifuatayo:

  • Ziara ya Rais wa Zanzibar nchini Imarati + Sauti

    Ziara ya Rais wa Zanzibar nchini Imarati + Sauti

    Jan 22, 2018 02:45

    RAis wa Zanzibar, Dk Ali Muhammed Shein yuko katika ziara ya kikazi ya wiki moja katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati). Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, visiwani Zanzibar, Harith Subeit.

  • Iran na Uganda zatia nia ya kuimarisha uhusiano baina yao + Sauti

    Iran na Uganda zatia nia ya kuimarisha uhusiano baina yao + Sauti

    Jan 13, 2018 06:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda imeitaka kamati maalumu iliyopewa jukumu la kufuatilia makubaliano ya pande mbili kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuongeza kasi ya kuhakikisha vipengee vyote vya mapatano hayo vinatekelezwa. Mwandishi wa Radio Tehran ana maelezo zaidi kutoka Kampala

  • Tundu Lissu amshangaa Rais Magufuli kutozungumza chochote kuhusu waliomshambulia

    Tundu Lissu amshangaa Rais Magufuli kutozungumza chochote kuhusu waliomshambulia

    Jan 05, 2018 14:52

    Mwanasheria Mkuu wa chama cha CHADEMA cha nchini Tanzania amesema kuwa anaamini serikali ya Tanzania ilikuwa inajua vyema kuhusu shambulio dhidi yake. Amesema hayo leo Ijumaa mbele ya waandishi wa habari nchini Kenya akiwa katika maandalizi ya kurejea Tanzania kesho Jumamosi. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hii ya mwandishi wa Radio Tehran.

  • Museveni 'ajirefushia' muda wa kubakia madarakani + SAUTI

    Museveni 'ajirefushia' muda wa kubakia madarakani + SAUTI

    Jan 03, 2018 04:04

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametia saini na kuufanya kuwa sheria muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa rais wa nchi hiyo, suala ambalo limemfungulia njia ya kuwania tena urais mwaka 2021.

  • Qur'ani ya kwanza kabisa kuwahi kufasiriwa kwa lugha ya Kirundi + SAUTI

    Qur'ani ya kwanza kabisa kuwahi kufasiriwa kwa lugha ya Kirundi + SAUTI

    Dec 26, 2017 06:10

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Uislamu nchini Burundi kumezinduliwa tafsiri ya Qur'ani nzima kwa lugha ya Kirundi.

  • Burundi kurefusha muda wa urais kutoka miaka mitano hadi saba, Pierre Nkurunzinza kuendelea kutawala

    Burundi kurefusha muda wa urais kutoka miaka mitano hadi saba, Pierre Nkurunzinza kuendelea kutawala

    Dec 19, 2017 05:57

    Serikali ya Burundi iko mbioni kufanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo na kumuongezea muda wa kutawala rais kutoka miaka mitano hadi saba, suala ambalo linatoa fursa kwa Rais Nkurunziza kuiongoza nchi hiyo hadi mwaka 2034. Hamida Issa na maelezo zaidi

  • Sheikh Ponda Issa Ponda ashinda tena kesi mahakamani Tanzania + Sauti

    Sheikh Ponda Issa Ponda ashinda tena kesi mahakamani Tanzania + Sauti

    Dec 19, 2017 05:53

    Kwa mara nyingine tena Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania kwa mara nyingine tena ameshinda kesi mahakamani na hivyo kuachiliwa huru. Mwandishi wetu Silvano Kayera na maelezo zaidi kutoka jijini Dar es Salaam.

  • Juhudi za kukuza Kiswahili nchini Rwanda

    Juhudi za kukuza Kiswahili nchini Rwanda

    Dec 19, 2017 05:51

    Juhudi za kukuza lugha tamu ya Kiswahili zinaendelea nchini Rwanda, baada ya nchi hiyo kukitangaza Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi nchini humo. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS