-
Wananchi wa Iran waadhimisha kumbukizi ya kuuawa shahidi Nasrullah
Oct 03, 2025 03:31Wananchi Waislamu wa Iran wamefanya marasimu ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Abdulmalik al Houthi: Nasrallah bado ni jinamizi kwa Israel
Sep 28, 2025 07:03Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdulmalik al-Houthi amesemam kuwa kiongozi wa muqawama wa Lebanon shahidi Sayyid Hassan Nasrallah bado ni jinamizi kwa Israel ingawa aliuawa na utawala huo mwaka mmoja uliopita.
-
Sheikh Naim Qassem: Kama alivyokuwa Shahidi Nasrullah hatutaweka chini katu silaha za Muqawama
Sep 28, 2025 03:35Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amehutubia mjini Beirut maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashem Safiyyuddin na kumhutubu Shahidi Nasrullah kwa kusema: "Ewe Nasrullah, kama ulivyotufunza, hatutaziacha katu silaha za Muqawama."
-
Sayyid Hassan Nasrullah alivunja kiburi cha jeshi la Israel linalodai halishindwi
Feb 25, 2025 06:02Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa: Sayyid Hassan Nasrullah amepata mafanikio makubwa na kuvunja kiburi na majigambo ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ambalo linadai eti halishindiki.
-
Iran kuwakilishwa na Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya Nje katika mazishi ya Shahidi Nasrallah
Feb 23, 2025 03:47Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi leo wanaelekea Beirut kushiriki katika hafla ya mazishi ya kiongozi wa Hizbullah aliyeuawa shahidi, Sayyed Hassan Nasrallah, pamoja na mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Shahidi Sayyid Hashim Safieddine.
-
Hizbullah: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama
Feb 23, 2025 02:44Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama.
-
Askofu Mkuu wa Quds: Palestina, kamwe haitomsahau Nasrullah
Feb 21, 2025 06:51Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ugiriki katika mji mtukufu wa al-Quds unaokaliwa kwa mabavu, Atallah Hanna, amemuenzi na kumsifu aliyekuwa Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon, Sayyid Hassan Nasralluh, akisisitiza kuwa watu wa Palestina daima wataendelea kuwa waaminifu kwake kwa namna alivyojitolea muhanga.
-
Shahidi Nasrullah, nembo azizi ya muqawama na mapambano dhidi ya dhulma
Nov 10, 2024 10:01Kongamano la Kimataifa la Fikra za Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, limefanyika mjini Tehran kwa lengo la kuchunguza na kutambua mielekeo mbalimbali ya kifikra na kimaarifa ya shahidi huyo pamoja na nafasi yake ya kisiasa katika kukabiliana na kiburi cha Wazayuni, ambapo wataalamu na wanafikra kutoka nchi 13 wameshiriki.
-
Waziri wa Miongozo ya Kiislamu wa Iran: Shahidi Nasrullah aliunganisha fikra na vitendo
Nov 10, 2024 03:39Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran, amesema kwamba Shahidi Hassan Nasrullah alikuwa shakhsia mwenye kutafakari na kuchambua mambo ipasavyo na kuongeza kuwa: Shahidi huyu wa daraja ya juu alikuwa ni mchanganyiko adimu wa uwezo wa fikra na kutenda."
-
Ghalibaf : Kuuawa shahidi Sayyid Nasrullah kumeonyesha ubatili wa kufanya mapatano na Israel
Nov 09, 2024 12:25Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Ghalibaf amesema kuuawa shahidi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah kulifichua namna utawala wa Kizayuni usivyoheshimu mapatano ya aina yoyote.