-
Ansarullah: Nasrullah alizima njama za Wazayuni katika eneo
Oct 04, 2024 03:14Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen sanjari na kutoa pongezi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema Sayyid Hassan Nasrullah alitibua njama za Israel na kuusababishia utawala huo dhalimu vipigo vya fedheha.
-
Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina
Oct 03, 2024 11:00Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jioni ya Ijumaa (tarehe 6 Oktoba 2024) lilifanya mashambulizi ya kikatili ambayo hayajawahi kutokea katika viunga vya kusini mwa Beirut nchini Lebanon.
-
Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 01, 2024 11:20Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Rais Pezeshkian: Damu ya shahidi Nasrullah itaendelea kuchemka na itasimama wima mbele ya dhulma
Sep 30, 2024 14:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani na waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni wamewaonyesha walimwengu jinsi haki za binadamu, utu wa binadamu na sheria za kimataifa zinavyokiukwa, magaidi na wahalifu wanaitwa watetezi wa haki za binadamu na waungaji mkono wa haki za binadamu kwa wanaodhulumiwa na wanaitwa kuwa ni magaidi.
-
Sheikh Naim Qassim: Tumejiandaa kikamilifu kukabiliana na Israel
Sep 30, 2024 14:10Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo imejiandaa kikamilifu kukabiliana na mashhambulio ya utawala haramu wa Israel.
-
Taathira za mauaji ya kigaidi ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa mfumo wa dunia
Sep 30, 2024 14:07Mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, yanaweza kuchambuliwa katika nyanja mbalimbali, lakini moja ya nyanja hazo ni tathmini ya athari zake katika mfumo wa dunia.
-
Subirini; jibu la kamanda wa jeshi la Iran kuhusu radiamali ya Tehran kwa mauaji ya shahidi Nasrullah
Sep 30, 2024 11:19Kamanda mkuu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu radiamali ya Iran na mhimili wa muqawama kwa mauaji ya Sayyid Hassan Nasrullah kuwa, subirini.
-
Mufti wa Oman: Nasrullah alikuwa mwiba kwenye koo ya Wazayuni
Sep 30, 2024 02:26Mufti Mkuu wa Oman amesema Sayyid Hassan Nasrullah, kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon aliyeuawa shahidi karibuni na Israel alikuwa mwiba kwenye koo ya Wazayuni kwa zaidi ya miongo mitatu.
-
Pretoria: Tunatiwa wasi wasi na mauaji ya kigaidi ya Israel
Sep 29, 2024 14:15Afrika Kusini imetoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mara moja nchini Lebanon, ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel ulianza mashambulio ya anga hivi karibuni, na kuua mamia ya raia huku maelfu ya wengine wakilazimika kuyahama makazi yao.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Baraza la Usalama linapaswa kuchukua hatua kukomesha jinai za Israel
Sep 29, 2024 11:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa heshima na hadhi ya Umoja wa Mataifa imeharibiwa vibaya isipokuwa kama Baraza la Usalama litachukua hatua za haraka kukomesha uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel.