-
Viongozi wa Israel wapatwa na kiwewe kufuatia hotuba ya kiongozi wa Hizbullah
Jun 25, 2017 23:47Viongozi mbalimbali wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamepatwa na wasi wasi mkubwa kufuatia hotuba ya siku ya Ijumaa iliyopita ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Quds.
-
Spika wa Bunge la Iran: Utambulisho wa Israel ni tishio kwa mataifa yote
May 30, 2017 00:00Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utambulishi wa uvamizi na ubaguzi wa utawala haramu wa Israel ni tishio kwa mataifa yote ya Mashariki ya Kati na jamii nzima ya mwanadamu.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah afichua njama zinazofanywa dhidi ya wanamapambano Mashariki ya Kati
Mar 19, 2017 13:34Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jana katika hotuba yake aliyoitoa mjini Beirut kwa mnasaba wa kumbukumbu tukio la kuzaliwa binti wa Mtume Muhammad (saw), Bibi Fatima Zahra SA, alisema kuwa, pesa ambazo zimetumika katika vita nchini Syria ni za nchi za Kiarabu na kwamba fedha hizo zingeweza kutumika katika kuwasaidia Wapalestina na ujenzi mpya wa Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah yaipongeza Iran kwa kuunga mkono Palestina
Feb 21, 2017 01:15Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Palestina wakati nchi zingine zimeegemea upande wa utawala haramu wa Israel.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah kamwe haiiogopi Israel wala Marekani
Feb 17, 2017 00:51Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, muqawama hauuogopi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wala shetani mkuu Marekani.
-
Nasrullah: Muqawama utavunja njama za mabeberu
Dec 27, 2016 23:20Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amesema muqawama na kusimama kidete kutasambaratisha njama za madola ya kibeberu na kiistikbari katika nchi za Syria, Iraq na Lebanon.
-
Nasrullah: Misimamo ya kuchupa mipaka inataka kuchafua taswira halisi ya Uislamu
Dec 23, 2016 12:54Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesema harakati za magenge ya kigaidi na kitakfiri yanayofanya jinai za kutisha eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika hazina mafungamano yoyote na Uislamu na shakhsia wake mbora na mtukufu, Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Nasrullah azitaka nchi zote ziungane kukabiliana na tishio la Daesh
Dec 10, 2016 03:50Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kwa kusema: "Njia pekee iliyoko mbele yetu ni kuulinda ustaarabu wa Kiislamu, eneo na uwepo wetu kwa kukabiliana na ugaidi".
-
Hizbullah yampongeza Aoun kuchaguliwa kuwa rais mpya Lebanon
Nov 04, 2016 12:19Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amempongeza Michel Aoun kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Lebanon na kusisitiza kuwa, harakati hiyo imekuwa ikilimbikiziwa tuhuma za uongo kuwa imekuwa kizingiti cha kufanyika uchaguzi nchini humo kwa takriban miaka miwili na nusu.
-
Nasrallah: Hizbullah imezuia Lebanon kutumbukia katika mgogoro
Oct 30, 2016 01:08Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah , Sayyed Hassan Nasrallah amesema harakati hiyo imeizuia Lebanon kutumbukia katika migogoro inayoendelea sasa Mashariki ya Kati na kwamba jitihada zinahitajika kulinda uthabiti huo.