-
Bomu la kutegwa ardhini laua askari polisi 10 nchini Kenya + Sauti
Jun 15, 2019 12:41Maafisa usalama wasiopungua 10 wameripotiwa kuuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika kaunti ya Wajir, katika eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Rais Michel Aoun: Njama zote za kutaka kuibua machafuko zitapata jibu kali
Jun 04, 2019 13:02Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa radiamali yake kufuatia shambulizi la kigaidi lililofanyika Tripoli nchini humo na kusema kuwa, hatua yoyote mbaya yenye lengo la kuibua ghasia ndani ya taifa hilo, itakabiliwa na jibu kali.
-
Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi nchini Msumbiji
Jun 01, 2019 11:22Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulizi jipya la kigaidi lililotokea huko kaskazini mwa Msumbiji.
-
Kundi la Daesh (ISIS) latangaza kuhusika na mashambulizi ya Sri Lanka
Apr 23, 2019 14:23Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetangaza kuwa ndilo lililohusika na miripuko ya mabomu ya hivi karibuni nchini Sri Lanka, iliyoua mamia ya watu.
-
Naibu mkuu wa ISIS eneo la Puntland, Somalia auawa katika shambulizi la anga
Apr 15, 2019 03:09Kamanda nambari mbili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) ameripotiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililofanyika katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Polisi: Gaidi aliyeua msikitini New Zealand kukabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji
Apr 04, 2019 08:03Polisi ya New Zealand imesema gaidi kwa jina Brenton Tarrant raia wa Australia ambaye alihusika katika shambulizi dhidi ya msikiti mmoja kati ya miwili iliyoshambuliwa nchini New Zealand mnamo Machi 15 atapandishwa kizimbani kesho Ijumaa, akikabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji na 39 ya jaribio la mauaji.
-
Waziri ni miongoni mwa watu 15 waliouawa katika shambulizi la kigaidi Somalia
Mar 24, 2019 03:12Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la kigaidi la jana Jumamosi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Iran yaungana na dunia kulaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti New Zealand
Mar 15, 2019 15:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand, amezitaka nchi za Magharibi kuacha unafiki wa kuunga mkono propaganda chafu dhidi ya Waislamu kwa kisingizio cha 'uhuru wa kujieleza'.
-
Shambulizi la kigaidi karibu na Ikulu ya Rais laua watu kadhaa Somalia
Mar 08, 2019 07:54Kwa akali watu saba wameuawa huku wengine tisa wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu na hujuma ya ufayatuaji risasi iliyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
SEPAH: Magaidi watatu wa shambulizi la Zahedan ni raia wa Pakistan
Feb 20, 2019 02:42Kamanda wa kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema kuwa, gaidi aliyejilipua kwa bomu na wenzake wawili kati ya waliohusika na shambulizi la kigaidi lililofanyika siku chache zilizopita dhidi ya askari wa jeshi hilo katika mkoa wa Sistan na Baluchestan wametambuliwa kuwa ni raia wa Pakistan.