-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Misri
Feb 19, 2019 04:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyolenga wanajeshi wa Misri katika eneo la Sinai.
-
"Iran italipiza kisasi damu ya askari wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu"
Feb 16, 2019 08:16Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Ali Jaafari amesema: "Vikosi vya kijeshi vya Iran bila shaka vitalipiza kisasi damu ya mashahidi madhlumu waliouawa katika hujuma ya kigaidi katika mkoa wa Sistan na Baluchistan (kusini mashariki mwa Iran)."
-
Kiongozi Muadhamu: Mashirika ya kijasusi ya kigeni yanahusika na shambulio la kigaidi nchini Iran
Feb 15, 2019 03:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani shambulio la kigaidi lililolenga wafanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH Jumatano usiku na kusema kuwa mashirika ya kijasusi ya baadhi ya nchi za ndani na nje ya eneo hili ndiyo yaliyohusika na jinai hiyo.
-
Watu wengine 7 wauawa katika hujuma ya kigaidi nchini Msumbiji
Feb 09, 2019 07:44Kwa akali watu saba wameuawa katika shambulizi jingine la kigaidi huko kaskazini mwa Msumbiji.
-
Magaidi wasambaratishwa Dusit Hotel, majeshi ya Kenya yapongezwa
Jan 16, 2019 16:17Baada ya Rais Uhuru Kenya wa Kenya kulihutubia Taifa na kutangaza kumalizika shambulizi la kigaidi na utekaji nyara uliodumu kwa muda wa masaa 19 katika Hoteli ya Dusit jijini Nairobi, viongozi mbalimbali wakiwemo wanasiasa wamejitokeza kuvipongeza vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kwa kufanikiwa kuwasambaratisha magaidi hao.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la kigaidi Nairobi, Kenya
Jan 15, 2019 15:30Kwa akali watu watatu wamethibitishwa kuuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi, lililotokea katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
-
Watu 12 wauawa katika hujuma ya kigaidi nchini Msumbiji
Jan 15, 2019 14:40Kwa akali watu 12 wameuawa katika shambulizi la kigaidi kaskazini mwa Msumbiji.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya watalii nchini Misri
Dec 30, 2018 14:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi la hivi karibuni lililopelekea kuuawa watalii kadhaa huko nchini Misri.
-
Watu kadhaa wakiwemo watalii wauawa katika mripuko wa bomu Misri
Dec 29, 2018 08:02Watalii watatu wa Vietnam na raia mmoja wa Misri wameuawa baada ya bomu lililotegwa kando ya barabara kuripukia basi lililokuwa likifanya safari ya kitalii karibu na Mapiramidi ya Giza nje kidogo ya mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya
Dec 26, 2018 14:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana katika jengo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya mjini Tripoli.