-
Mke wa Sheikh Zakzaky aambukizwa corona akiwa kifungoni
Jan 23, 2021 04:59Mtoto wa Sheikh Ibrahim Zakzaky Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa mama yake amepatwa na maambukizi ya corona wakati ambapo yupo jela.
-
Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Jan 12, 2021 07:54Wafuasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wamefanya maandamano makubwa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo wakitaka kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa jela kwa miaka kadhaa sasa.
-
"Saudia imeipa serikali ya Nigeria mamilioni ya dola imuue Sheikh Zakzaky"
Dec 17, 2020 07:39Wakili wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia umeipa serikali ya Abuja mamilioni ya dola ili imuue mwanaharakati huyo wa Kiislamu anayeshikiliwa kizuizini mwa miaka mitano sasa.
-
Shahriari: Kujitolea mhanga Sheikh Zakzaky kumevunja njama za maadui
Dec 14, 2020 12:15Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, kujitolea muhanga Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye anashikiliwa kizuizini kwa miaka kadhaa sasa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo kumevuruga na kuvunja njama za maadui.
-
Msomi wa Nigeria: Sheikh Ibrahim Zakzaky anashikiliwa kizuizini kwa amri ya Saudi Arabia
Dec 14, 2020 02:55Sheikh Abdul-Hamid Bilo, mmoja wa wanazuoni wa Kishia nchini Nigeria amesema kuwa, Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anashikiliwa kizuizini kwa amri ya watawala wa Kiwahabi wa Saudi Arabia.
-
Serikali ya Nigeria ikiwa pamoja na njama za Marekani, Saudi Arabia na Israel yaendelea kumshikilia Sheikh Zakzaky
Dec 12, 2020 11:22Serikali ya Nigeria ikiwa pamoja na njama za Marekani, utawala haramu wa Israel na utawala wa Saudia imekataa katakata kumuachilia huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Wananchi wa Nigeria wazidi kuishinikiza Serikali imwachilie huru Sheikh Zakzaky
Dec 02, 2020 07:06Wananchi wa Nigeria jana Jumanne, Disemba Mosi 2020, waliendelea na maandamano yao mjini Abuja ili kushinikiza kuachiliwa huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Kuendelea malalamiko ya Wanigeria katika kumtetea Sheikh Zakzaki
Nov 26, 2020 09:44Katika kuendelea kushikiliwa kinyume cha sheria Sheikh Ibrahim Zakzaki, Kiongozi wa Waislamu wa Nigeria, Waislamu wa nchi hiyo kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano makubwa ya kuunga mkono na kutaka mwanzuoni huyo wa Kiislamu aachiliwe mara moja.
-
Wanigeria waandamana tena kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Nov 10, 2020 07:25Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu Abuja wakilalamikia kuendelea kushikiliwa kizuizini kiongozi wao pamoja na mkewe.
-
Hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe yazidi kuzorota
Oct 12, 2020 13:29Binti wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, hali ya kiafya ya baba na mama yake ni mbaya mno kutokana na kiongozi huyo kuzuiawa kupatiwa matibabi.