-
AU yamtaka Trump atazame upya uamuzi wake wa kuiondoa Marekani katika shirika la WHO
Jan 23, 2025 02:50Umoja wa Afrika (AU) jana Jumatano ulimtolea wito Rais mpya wa Marekani, Donald Trump, kufikria tena uamuzi wake wa kuiondoa Washington katika Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
WHO yasikitishwa na Marekani kujiondoa kwenye shirika hilo
Jan 22, 2025 02:49Shirika la Afya Duniani (WHO) limeelezea masikitiko yake kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuiondoa nchi hiyo kwenye shirika hilo. WHO imesema inatumai serikali mpya ya Washington itaangalia upya uamuzi wake huo.
-
Katika mwaka mmoja tu wa 2024, Israel ilibomoa kikamilifu Misikiti 815 na kuharibu 151 Ghaza
Jan 06, 2025 03:06Katika mwaka uliomalizika wa 2024, wanajeshi wa utawala wa Kiziayuni wa Israel walibomoa kikamilifu Misikiti 815 na kuharibu mingine 151 katika Ukanda wa Ghaza. Hayo yameelezwa katika ripoti iliyotolewa na Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini ya Palestina.
-
WHO: Mashambulizi ya Israel dhidi ya hospitali na wafanyakazi wa tiba huko Gaza yanapasa kusitishwa
Jan 05, 2025 07:47Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesisitiza ulazima wa kusitishwa mashambulizi ya Israel dhidi ya hospitali na wafanyakazi wa sekta ya afya na tiba katika Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Taasisi za kimataifa zisaidie kufikisha misaada ya kitiba Ukanda wa Gaza
Dec 16, 2024 07:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeziomba taasisi za kimataifa zitume misaada ya kitiba na kitabibu kwa ajili ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
-
WHO kuisaidia Rwanda kukabiliana na mripuko wa kwanza wa Marburg
Sep 30, 2024 02:25Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Rwanda katika kupambana na mripuko wa kwanza wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg (MVD).
-
WHO: Vifaru vya Israel vinawashambulia wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu
Sep 18, 2024 11:26Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa vifaru vya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel vimewashambulia wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ili kuwazuia kutoa misaada kwa wakimbizi na majeruhi wa Kipalestina.
-
WHO: Wanaoambukizwa zaidi Mpox ni wanaume kupitia ngono
Aug 15, 2024 07:44Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa, kesi 9 kati ya 10 za homa ya nyani (Mpox) zinawakabili wanaume, ambapo aghalabu yao wanaambukizwa kwa njia ya zinaa.
-
WHO: Dunia imetimiza nusu tu ya lengo la kimataifa la huduma muhimu za afya ifikapo 2025
May 28, 2024 07:45Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amesema licha ya hatua kubwa ya upashaji habari, ni watu milioni 585 tu ambao watafikiwa na huduma muhimu za afya ifikapo mwaka 2025.
-
WHO: Mgogoro wa afya ya akili, ndilo janga 'lijalo' duniani
May 10, 2024 02:10Afisa mwandamizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuwa, dunia ipo katika hatari ya kukumbwa na janga la matatizo ya afya ya akili.