-
Hamas: Taasisi za kimataifa zisaidie kufikisha misaada ya kitiba Ukanda wa Gaza
Dec 16, 2024 03:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeziomba taasisi za kimataifa zitume misaada ya kitiba na kitabibu kwa ajili ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
-
WHO kuisaidia Rwanda kukabiliana na mripuko wa kwanza wa Marburg
Sep 29, 2024 22:55Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Rwanda katika kupambana na mripuko wa kwanza wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg (MVD).
-
WHO: Vifaru vya Israel vinawashambulia wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu
Sep 18, 2024 07:56Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa vifaru vya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel vimewashambulia wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ili kuwazuia kutoa misaada kwa wakimbizi na majeruhi wa Kipalestina.
-
WHO: Wanaoambukizwa zaidi Mpox ni wanaume kupitia ngono
Aug 15, 2024 04:14Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa, kesi 9 kati ya 10 za homa ya nyani (Mpox) zinawakabili wanaume, ambapo aghalabu yao wanaambukizwa kwa njia ya zinaa.
-
WHO: Dunia imetimiza nusu tu ya lengo la kimataifa la huduma muhimu za afya ifikapo 2025
May 28, 2024 04:15Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amesema licha ya hatua kubwa ya upashaji habari, ni watu milioni 585 tu ambao watafikiwa na huduma muhimu za afya ifikapo mwaka 2025.
-
WHO: Mgogoro wa afya ya akili, ndilo janga 'lijalo' duniani
May 09, 2024 22:40Afisa mwandamizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuwa, dunia ipo katika hatari ya kukumbwa na janga la matatizo ya afya ya akili.
-
WHO yaonya: Kesi za saratani zitaongezeka kwa 77% kufikia 2050
Feb 02, 2024 04:18Shirika la Afya Duniani WHO limetahadharisha kuwa, mzigo wa saratani duniani unaongezeka kwa kiwango cha kuogofya, na kwamba kesi za maradhi hayo hatarishi zinatazamiwa kuongezeka kwa asilimia 77 kufikia mwaka 2050.
-
WHO: Dunia ichukue hatua za dharura kuzuia maafa zaidi Gaza
Dec 28, 2023 03:09Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa mara nyingine tena limeeleza wasi wasi wake kuhusu hali ya kutisha ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuchukua hatua za dharura za kukomesha 'maafa ya kibinadamu' yanayowakabili Wapalestina wa ukanda huo.
-
WHO yaonya: Sigara za kielektroniki zina athari mbaya, zidhibitiwe
Dec 15, 2023 03:24Shirika la Afya Duniani WHO limesema hatua za haraka zinapasa kuchukuliwa kudhibiti sigara za kielektroniki ili kulinda watoto pamoja na wasiovuta sigara na kupunguza madhara ya kiafya kwa watu.
-
Mkurugenzi Mkuu wa WHO atabiri mwisho wa janga la Corona
Mar 14, 2023 22:53Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema janga la dunia nzima la ugonjwa wa Covid-19 litamalizika kufikia mwishoni mwa mwaka huu wa 2023.