-
WHO: Nchi nyingi hazina sera za kudhibiti matumizi makubwa ya chumvi
Mar 10, 2023 03:35Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa, karibu robo tatu ya nchi wanachama wa taasisi hiyo hazina sera za kupunguza kwa lazima matumizi ya juu ya chumvi.
-
Guinea ya Ikweta imesajili mripuko wa kwanza wa Marbug, WHO
Feb 14, 2023 04:19Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Equatorial Guinea imethibitisha habari ya kukumbwa na mripuko wa kwanza wa ugonjwa wa virusi vya Marburg.
-
WHO: COVID-19 bado ni dharura ya afya ya umma duniani
Jan 31, 2023 08:11Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema, ugonjwa wa COVID-19 bado ni tishio la afya ya umma duniani na kwa mantiki hiyo dharura itokanayo na janga hilo iliyotangazwa miaka mitatu iliyopita itaendelea.
-
WHO yachunguza dawa za India baada ya watoto 66 kuaga dunia Gambia
Oct 06, 2022 03:51Shirika la Afya Dunia (WHO) limetoa indhari kuwa, yumkini dawa aina nne za kukabiliana na kikohozi na mafua zilizotengenezwa na kampuni ya India ya Maiden Pharmaceuticals zimesababisha vifo vya watoto 66 nchini Gambia.
-
Uhispania, Brazil zaripoti vifo vya kwanza vya Monkeypox nje ya Afrika
Jul 30, 2022 05:00Vifo vya kwanza vilivyotokana na ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) nje ya bara la Afrika vimeripotiwa katika nchi za Uhispania na Brazil, huku maambukizi ya ugonjwa huo yakiongezeka kote duniani hususan barani Ulaya.
-
Afrika yalilia chanjo ya Monkeypox iliyoua watu 75 barani humo
Jul 29, 2022 23:13Afrika haina hata dozi moja ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox), licha ya kuwa bara pekee lililosajili vifo vilivyotokana na maradhi hayo.
-
WHO yaitangaza Monkeypox kuwa tishio la afya duniani
Jul 24, 2022 02:47Shirika la Afya Duniani WHO limeutangaza mripuko wa ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) kuwa tishio la afya duniani.
-
WHO yaitisha kikao cha dharura baada ya kesi za Monkeypox kupindukia 6,000
Jul 07, 2022 03:13Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha mkutano wa dharura kujadili ongezeko la maabukizi ya ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) katika pembe mbalimbali za dunia.
-
WHO: Karibu watu wote duniani wanavuta hewa chafu
Apr 05, 2022 02:53Shirika la Afya Duniani limesema karibu watu wote duniani wanavuta hewa chafu ambayo haikidhi viwango vya shirika hilo na hivyo wanakodolewa macho na magonjwa na hatari ya kifo.
-
WHO yatoa indhari kuhusu namna mataifa tajiri yanavyopambana na kirusi cha omicron
Dec 23, 2021 04:18Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom ameonya kuwa hatua ya mataifa tajiri kuanza kutoa dozi ya tatu kwa raia wao, inaendeleza ubaguzi wa upatikanaji wa chanjo kwa mataifa masikini, hatua ambayo amesema haitasaidia kumaliza janga la Covid 19, hasa wakati huu kirusi cha omicron kinapoendelea kusambaa duniani.