Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Shirika la Afya Duniani

  • WHO: Uzeofu wa Iran katika kupambana na Malaria unapaswa kuigwa na nchi nyingine

    WHO: Uzeofu wa Iran katika kupambana na Malaria unapaswa kuigwa na nchi nyingine

    Apr 29, 2018 22:10

    Mkuu wa Mpango wa Kimataifa wa Kupambana na Malaria (The Global Malaria Programme) ambao uko chini ya Shirika la Afya Duniani WHO amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio mazuri katika kupambana na ugonjwa wa Malaria na kwamba mafanikio hayo ni kigezo kizuri cha kuigwa na nchi nyingine duniani.

  • WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya ugonjwa wa Listeriosis barani Afrika

    WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya ugonjwa wa Listeriosis barani Afrika

    Mar 21, 2018 03:59

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu hatari ya ugonjwa unaoenea katika nchi kadhaa za Afrika wa Listeriosis unaosababishwa na utumiaji wa bidhaa za nyama.

  • Tahadhari yatolewa kuhusu kuenea ugonjwa wa malaria barani Afrika

    Tahadhari yatolewa kuhusu kuenea ugonjwa wa malaria barani Afrika

    Jan 27, 2018 01:04

    Viongozi wa Umoja wa Afrika na wa Shirika la Afya Duniani WHO wametahadharisha kuhusiana na uwezekano wa kuenea na kusambaa zaidi ugonjwa wa malaria barani Afrika.

  •  WHO yaonya kuhusu unene miongoni mwa watoto duniani

    WHO yaonya kuhusu unene miongoni mwa watoto duniani

    Oct 12, 2017 03:02

    Shirika la Afya Duniani, WHO, limeonya kuhusu idadi ya watoto na vijana barubaru walio na tatizo la unene au utipwatipwa duniani.

  • WHO yatahadharisha kuhusu hali iliyopo katika kambi za Waislamu wa Myanmar

    WHO yatahadharisha kuhusu hali iliyopo katika kambi za Waislamu wa Myanmar

    Sep 25, 2017 11:01

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika kambi za wakimbizi huko Bangladesh unaotishia maisha ya Waislamu wa Rohingya wa Myanmar wapatao 436,000.

  • WHO yatoa indhari baada ya Wayemeni nusu milioni kukumbwa na kipindupindu

    WHO yatoa indhari baada ya Wayemeni nusu milioni kukumbwa na kipindupindu

    Aug 14, 2017 22:00

    Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa kutokana na kuendelea hujuma na mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, zaidi ya watu laki tano na elfu tatu wamekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini humo huku wagonjwa 1,975 wakiwa tayari wameaga dunia kuanzia mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa kutokana na ugonjwa huo.

  • Mlipuko wa polio waripotiwa Kongo DR, mikoa 2 yaathiriwa

    Mlipuko wa polio waripotiwa Kongo DR, mikoa 2 yaathiriwa

    Jun 14, 2017 03:40

    Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya mlipuko wa ugonjwa wa kupooza (polio) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • WHO: Watu bilioni 2 duniani wanakunywa maji machafu

    WHO: Watu bilioni 2 duniani wanakunywa maji machafu

    Apr 13, 2017 02:58

    Shirika la Afya Duniani limesema watu bilioni 2 kote duniani wanatumia maji machafu na kusisitiza kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi za makusudi kuhakikisha kuwa kila mtu anapata maji safi ya kunywa na anaishi katika mazingira safi yenye mifumo ya kuondoa majitaka.

  • WHO: Wasomali zaidi ya milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kifo

    WHO: Wasomali zaidi ya milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kifo

    Mar 01, 2017 00:26

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu uzima na maisha ya zaidi ya Wasomali milioni moja wanaosumbuliwa na baa la njaa.

  • WHO yawataka walimwengu wazidishe mapambano dhidi ya sigara

    WHO yawataka walimwengu wazidishe mapambano dhidi ya sigara

    Jan 11, 2017 10:35

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mapambano dhidi ya sigara yanaweza kuokoa mabilioni ya fedha mbali na kuokoa maisha ya mamilioni ya wanadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS