-
Amnesty yakosoa ukandamizaji wa serikali ya Misri dhidi ya wapinzani
Feb 10, 2018 16:33Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa ukandamizaji unaofanywa na maafisa wa serikali ya Misri dhidi ya wapinzani wa serikali ya nchi hiyo.
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu mauaji ya watu karibu 400 yaliyofanywa na Boko Haram
Sep 05, 2017 07:07Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetangaza kuwa watu karibu 400 wameuawa katika mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuanzia mwezi Aprili mwaka huu huko Nigeria na Cameroon.
-
Watu zaidi ya 100 watiwa mbaroni Kongo
Aug 02, 2017 14:25Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limeripoti kuwa watu zaidi ya mia moja wametiwa mbaroni katika maandamano ya amani yaliyofanyika juzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupinga hatua ya Rais Joseph Kabila ya kusalia madarakani.
-
Amnesty International: EU inapaswa kubeba jukumu la wahamiaji wa Libya
Jul 07, 2017 03:51Shirika la Msamaha la Kimataifa (Amnesty International) limesema kuwa, Umoja wa Ulaya (EU) unapaswa kubeba lawama za hali mbaya ya wahajiri nchini Libya.
-
Kuhukumiwa kifo raia katika nchi tatu za Kiarabu kwa makosa wanayolazimishwa kukiri baada ya kuteswa
Mar 04, 2017 05:58Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa hukumu ya kifo katika nchi za Bahrain, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimetekelezwa baada ya watuhumiwa kulazimika kukiri makosa baada ya kuteswa.
-
Serikali ya Uganda yakanusha tuhuma za kutenda mauaji ya kiholela
Nov 30, 2016 03:18Serikali ya Uganda imekanusha tuhuza dhidi yake kwamba imefanya mauaji ya kiholela nchini humo.
-
Amnesty yaikosoa Kenya kwa kuwafukuza wakimbizi kutoka Somalia
Nov 15, 2016 14:15Shirika la haki za binadmau la Amnesty International limeikosoa serikali ya Kenya kwa kuwalazimisha wakimbizi kutoka Somalia kurejea katika nchi yao inayokumbwa na vita na hivyo kuhatarisha maisha yao.
-
AI: Muungano wa kijeshi unaoongozwa na US umeua raia 300 Syria
Oct 27, 2016 10:24Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa raia wapatao 300 wa Syria wameuliwa katika mashambulio 11 ya anga yaliyofanywa na Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani.
-
Amnesty International yakosoa kukandamizwa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain
Sep 02, 2016 04:16Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limekosoa na kulaani ukandamizaji mkubwa unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo.
-
Amnesty yatiwa wasiwasi na ukandamizaji na kamatakamata Uturuki
Jul 25, 2016 08:06Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza masikitiko yake juu ya kukithiri ukandamizaji, kamata kamata na ukiukaji wa haki za binadamu nchini Uturuki, baada ya jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililofeli.