-
Marekani yazidi kuwazatiti kwa silaha waasi nchini Syria
May 05, 2018 03:22Kwa mara nyingine tena, jana Ijumaa Marekani ilimimina shehena za silaha katika mkoa wa al Hasaka, kaskazini mwa Syria kama njia ya kuchochea vita na kuendeleza mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwenye eneo hilo.
-
Saudia yaendelea kurundika silaha, yatumia dola bilioni 69 mwaka jana pekee
May 02, 2018 21:17Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) inaonyesha kuwa, fedha zinazotengwa na baadhi ya nchi ikiwemo Saudi Arabia kwa sababu za kijeshi mwaka jana 2017 zimeongzeka kwa asilimia 1.1, sawa na dola trilioni 1.739 za Marekani.
-
Naeem Qassim: Hizbullah haitaweka chini silaha ila baada ya kuangamizwa Israel
Apr 28, 2018 11:43Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo itakuwa tayari kuweka chini silaha pale tu itakapohakikisha utawala wa Kizayuni wa Israel umeangamizwa.
-
Wimbi la upinzani wa kuuziwa silaha Saudi Arabia huko Ufaransa
Apr 10, 2018 07:55Malalamiko ya kutaka kusitishwa kuuziwa silaha Saudi Arabia yameshadidi nchini Ufaransa sambamba na safari ya Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Trump aunga mkono tena sheria ya kumiliki bunduki kiholela nchini Marekani
Mar 28, 2018 11:31Kwa mara nyingine tena rais wa Marekani, Donald Trump ameunga mkono sheria inayoruhusu kuuzwa na kumiliki bunduki kiholela nchini humo.
-
Aghalabu ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao iache kuiuzia silaha Saudia
Mar 26, 2018 10:31Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umeonyesha kuwa asilimia 75 ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao isimamishe uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia, Imarati na nchi nyingine zinaoendesha vita haribifu huko Yemen.
-
Amnesty yalaani uuzaji wa silaha kwa Saudia, yasema Riyadh imetenda jinai za kivita Yemen
Mar 23, 2018 09:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani mwenendo wa nchi za Magharibi hususan Marekani wa kuendelea kuiuzia silaha Saudi Arabia ikisisitiza kuwa utawala wa Riyadh umefanya jinai za kivita nchini Yemen.
-
Zana za kijeshi za Marekani zapatikana katika maficho ya magaidi huko Ghouta Mashariki, nchini Syria
Mar 09, 2018 00:35Jeshi la Syria jana (Alkhamisi) lilikamata kiwango kikubwa cha silaha na zana za kijeshi pamoja na mada za miripuko zilizotengenezwa nchini Marekani, katika maficho ya magaidi huko Ghouta Mashariki katika viunga vya mji mkuu, Damascus.
-
Wauzaji wa silaha za moto Marekani wapongeza msimamo hasi wa Trump
Feb 23, 2018 04:08Chama cha Wauzaji Bunduki Marekani NRA kimepongeza pendekezo lililotolewa na Rais Donald Trump la kutaka kupewa silaha za moto walimu wa shule za nchi hiyo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo.
-
Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu
Feb 22, 2018 01:06Rais Donald Trump wa Marekani ametoa pendekezo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo akisema kuwa, njia pekee ya kuzuia suala hilo ni kuwapatia silaha za moto walimu.