Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha za kemikali

  • Russia yajibu madai ya Biden ya matumizi ya silaha za kibaolojia nchini Ukraine

    Russia yajibu madai ya Biden ya matumizi ya silaha za kibaolojia nchini Ukraine

    Mar 22, 2022 12:54

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Ryabkov amesema Jumanne leo kwamba matamshi yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Joe Biden kuhusu uwezekano wa Russia kutumia silaha za kemikali na za kibaolojia huko Ukraine ni ya kihabithi.

  • Baraza la Usalama la UN leo linajadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine

    Baraza la Usalama la UN leo linajadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine

    Mar 11, 2022 11:49

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura leo kwa ombi la Russia kujadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine. Ni baada ya Moscow kuzishutumu Kyiv na Washington kwamba zimekuwa zikitengeneza silaha za kibaolojia za kueneza magonjwa hatari kwa kutumia wanyama, jambo ambalo Marekani na Ukraine zimelikanusha.

  • Ershadi: Iran ni mhanga mkubwa wa silaha za kemikali duniani

    Ershadi: Iran ni mhanga mkubwa wa silaha za kemikali duniani

    Sep 03, 2021 06:35

    Naibu mwakilishi wa kudumu wa Iran katika umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama mhanga mkubwa wa silaha za kemikali inatoa wito wa kutekelezwa kikamilifu, kwa njia athirifu na bila ya ubaguzi mkataba wa kuzuia silaha za kemikali.

  • Tuhuma za matumizi ya silaha za kemikali dhidi ya Syria; mbinu yenye lengo la kudhoofisha mamlaka ya kujitawala Damascus

    Tuhuma za matumizi ya silaha za kemikali dhidi ya Syria; mbinu yenye lengo la kudhoofisha mamlaka ya kujitawala Damascus

    Apr 18, 2021 02:28

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imepinga ripoti iliyopewa jina la " Timu ya Uchunguzi na Utambuzi" iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) kuhusu tukio la Saraqib na kuitaja ripoti hiyo kuwa ni ya upotoshaji na ya uongo.

  • Zarif alaani nchi za Magharibi zilizompa Saddam silaha za sumu

    Zarif alaani nchi za Magharibi zilizompa Saddam silaha za sumu

    Mar 16, 2021 07:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezilaani nchi za Magharibi ambazo zilimpa dikteta wa zamani wa Iraq Saddam Hussein silaha za sumu. Amesema nchi hizo hazijali kukumbuka mauaji ya umati ya watu wa Iraq ambao waliuawa kwa silaha hizo za maangamizi ya umati.

  • Russia yaikabidhi UN ushahidi kuwa Wamagharibi wanafanya njama za kuishambulia tena Syria

    Russia yaikabidhi UN ushahidi kuwa Wamagharibi wanafanya njama za kuishambulia tena Syria

    Sep 01, 2018 07:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi yake imeukabidhi Umoja wa Mataifa ushahidi unaothibitisha kuwa nchi za Magharibi zinafanya njama za kuishambulia tena Syria kwa madai ya uongo ya matumizi ya silaha za kemikali hata kabla ya kutumika silaha hizo.

  • Syria yalaani ripoti ya Wamagharibi kuhusu silaha za kemikali

    Syria yalaani ripoti ya Wamagharibi kuhusu silaha za kemikali

    Aug 24, 2018 08:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani vikali taarifa ya pamoja ya Marekani, Ufaransa na Uingereza kuhusiana na tuhuma bandia dhidi ya Damascus kwamba, imetumia silaha za kemikali.

  • Sergey Lavrov: Marekani haitaki kutokomeza silaha zake za kemikali

    Sergey Lavrov: Marekani haitaki kutokomeza silaha zake za kemikali

    Aug 13, 2018 08:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kuwa Marekani inapinga kuangamiza silaha zake za kemikali.

  • OPCW: Hakuna ushahidi wa kutekelezwa shambulizi la kemikali Douma, Syria

    OPCW: Hakuna ushahidi wa kutekelezwa shambulizi la kemikali Douma, Syria

    Jul 07, 2018 07:26

    Uchunguzi wa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) umebainisha kwamba hakuna shambulizi lolote la silaha za kemikali lililofanyika katika mji wa Douma, ulioko katika viunga ya mji mkuu wa Syria, Damascus.

  • Brigedia Jenerali Hatami: Israel ni tishio kwa usalama wa kimataifa

    Brigedia Jenerali Hatami: Israel ni tishio kwa usalama wa kimataifa

    Jun 30, 2018 04:09

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia shambulio la silaha za kemikali lililofanywa miaka kadhaa iliyopita na utawala wa Saddam Hussein dhidi ya mji wa Sardashti kaskazini magharibi mwa Iran na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa kimataifa kutokana na kumiliki kwake silaha zilizopigwa marufuku.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS