-
Kutamba Khalifa Haftar huko Libya
Dec 18, 2016 04:44Katika hali ambayo jeshi la Libya linaloongozwa na Kamanda Khalifa Haftar linajiandaa kukabiliana na watu ambao limewataja kuwa ni makundi yenye misimamo mikali huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo, kamanda wa oparesheni ya kuukomboa mji wa Sirte mashariki mwa Tripoli amemuarifisha mtawala wa kijeshi wa mji huo.
-
Jeshi la serikali Libya ladhibiti kikamilifu mji wa Sirte
Dec 06, 2016 00:07Vikosi vya jeshi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya vinaudhibiti kikamilifu mji wa Sirte kaskazini mwa Libya.
-
Mgogoro wa kisiasa waongezeka nchini Libya
Oct 17, 2016 12:20Taasisi ya kulinda usalama iliyoko chini ya amri ya baraza la uongozi wa Libya imetangaza kujitenga na baraza hilo.
-
Waziri Mkuu wa Libya: Vita dhidi ya Daesh vitaendelea
Sep 01, 2016 11:19Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametembelea mji wa Sirte, uliokuwa ngome kuu ya genge la kigaidi la Daesh na kusema kuwa, mapambano dhidi ya kundi hilo yataendelea hadi kulimaliza kabisa.
-
Wanajeshi wa Libya waukomboa kikamilifu mji wa Sirte
Jun 11, 2016 02:41Vikosi vya serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya vimetangaza habari ya kuukomboa kikamilifu mji wa kistratajia wa Sirte, uliokua chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Wanajeshi wa serikali wakomboa maeneo muhimu ya mji wa Sirte Libya
Jun 10, 2016 02:53Vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo televisheni ya Russia Today vimeripoti habari ya kukombolewa kikamilifu fukwe za mji wa Sirte na maeneo mengine muhimu ya mji huo wa baada ya kundi la Daesh kuufanya mji huo kuwa ngome yake.
-
Umoja wa Mataifa wakataa kushambuliwa Daesh Libya
Feb 17, 2016 11:40Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema kuwa, huenda hivi sasa usiwe wakati mwafaka wa kufanya operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi wa Daesh nchini Libya.