Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8

    Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8

    Dec 25, 2022 07:03

    Wavuvi 14 Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab nchini Somalia wamewasili hapa nchini Iran baada ya kuachiwa huru.

  • Vikosi vya Somalia vyaukomboa mji wa Runirgoud kutoka kwa magaidi wa Al-Shabaab

    Vikosi vya Somalia vyaukomboa mji wa Runirgoud kutoka kwa magaidi wa Al-Shabaab

    Dec 24, 2022 04:10

    Mashambulizi ya Jeshi la Somalia (SNA) dhidi ya kundi la magaidi wa Al-Shabaab yamepata mafanikio mapya baada ya vikosi vyake kuukomboa mji wa Runirgoud, ngome ya mwisho ya magaidi hao wakufurishaji huko Shabelle ya Kati, takriban kilomita 240 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.

  • FAO: Watu milioni 1.9 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula Somalia

    FAO: Watu milioni 1.9 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula Somalia

    Dec 21, 2022 08:35

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, watu milioni 1.9 nchini Somalia wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na kwamba, kuna haja ya kupelekewa haraka misaada ya chakula.

  • AU: Kundi la al-Shabaab linaelekea kusambaratika nchini Somalia

    AU: Kundi la al-Shabaab linaelekea kusambaratika nchini Somalia

    Nov 30, 2022 07:27

    Umoja wa Afrika umesema vitendo vya hivi karibuni vya kundi la kigaidi la al-Shabaab vya kuwalenga raia wasio na hatia katika mashambulizi yao vinaashiria namna genge hilo lilivyopoteza udhibiti wa ngome zake, kutokana na operesheni za Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) na waitifaki wake.

  • Mzingiro wa al-Shabaab katika hoteli Somalia wahitimishwa, raia 9 na askari mmoja wauawa

    Mzingiro wa al-Shabaab katika hoteli Somalia wahitimishwa, raia 9 na askari mmoja wauawa

    Nov 29, 2022 04:23

    Vikosi vya usalama vya Somalia vimevamia hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu ili kumaliza mzingiro wa siku moja wa wapiganaji wa al-Shabab ambao waliwaua watu tisa kwenye jengo lililoko karibu na makazi ya rais katika mji huo.

  • Jeshi la Somalia lawaangamiza magaidi 100 wa al Shabab

    Jeshi la Somalia lawaangamiza magaidi 100 wa al Shabab

    Nov 27, 2022 03:15

    Serikali ya Somalia imetangaza kuwa imewaangamiza magaidi wa kundi la al Shabab wapatao 100 wakiwemo viongozi 10 wa kundi hilo la kigaidi katika oparesheni iliyofanywa na jeshi kusini mwa nchi.

  • Wanamgambo wa al-Shabab washambulia kambi ya jeshi nchini Somalia

    Wanamgambo wa al-Shabab washambulia kambi ya jeshi nchini Somalia

    Nov 07, 2022 09:13

    Kundi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab limeshambulia kambi moja ya jeshi katikati ya mji wa Galgaduud nchini Somalia.

  • Watu 15 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Somalia

    Watu 15 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Somalia

    Nov 06, 2022 04:04

    Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulio jingine la kigaidi lililolenga kambi ya mafunzo ya kijeshi karibu na Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.

  • Magaidi 17 wa al-Shabaab wauwa katika operesheni mpya Somalia

    Magaidi 17 wa al-Shabaab wauwa katika operesheni mpya Somalia

    Oct 27, 2022 04:37

    Vyombo vya intelejensia vya Somalia vikishirikiana na vya kimataifa vimeangamiza wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab.

  • Magaidi zaidi 100 wa Al-Shabaab waangamizwa Somalia

    Magaidi zaidi 100 wa Al-Shabaab waangamizwa Somalia

    Oct 25, 2022 23:02

    Serikali ya Somalia imetangaza kuwa magaidi zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Al-Shabaab wameangamizwa kusini mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS