-
Wabunge wa Somalia wapitisha kwa kauli moja uamuzi wa kurejesha upigaji kura wa uwakilishi
May 01, 2021 21:53Baraza dogo la bunge la Somalia limepitisha kwa kauli moja uamuzi wa kurejesha makubaliano yaliyofikiwa Septemba mwaka jana yatakayoruhusu nchi hiyo kuendelea na utaratibu wa upigaji kura kwa njia ya isiyo ya moja kwa moja ya uwakilishi.
-
Shambulio la bomu laua, kujeruhi watu 20 Mogadishu, Somalia
Apr 28, 2021 21:55Watu wasiopungua saba wameuawa huku wengine zaidi ya 11 wakijeruhiwa baada ya gari lililokuwa limesheheni mabomu kuripuka nje ya makao makuu ya polisi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Taharuki yatanda Somalia, risasi zarindima Mogadishu; makazi ya rais wa zamani yashambuliwa
Apr 25, 2021 22:50Hali ya taharuki imetanda nchini Somalia huku milio ya risasi ikirindima katika mji mkuu Mogadishu, baada ya maafisa usalama kukabiliana vikali na 'waasi' wanaopinga kurefushwa muda wa uongozi wa Rais wa nchi hiyo, Mohamed Abdullahi Farmaajo.
-
Umoja wa Afrika walaani kurefushwa kipindi cha uongozi wa Rais Farmaajo wa Somalia
Apr 23, 2021 22:50Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limelaani uamuzi wa kurefusha kipindi cha uongozi wa Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo wa Somalia.
-
AU: Tuko tayari kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa Somalia
Apr 22, 2021 22:02Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limesema liko tayari kuandaa na kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa unaoikabili Somalia.
-
Nigeria yatuma makumi ya askari polisi wake nchini Somalia
Apr 19, 2021 03:17Kikosi cha askari polisi 144 wa Nigeria kimewasili nchini Somalia, kwenda kupiga jeki jitihada za kurejesha uthabiti katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Jeshi la Somalia lachukua udhibiti wa ngome za magaidi wa al-Shabab
Apr 08, 2021 08:42Jeshi la Somalia (SNA) limetangaza kuchukua udhibiti wa kambi kadhaa za kundi la kigaidi la al-Shabab huko Galgaduud, katikati mwa Somalia.
-
Viongozi wa Somalia washindwa kukubaliana juu ya ajenda ya mkutano muhimu wa uchaguzi
Apr 05, 2021 08:24Viongozi wa Somalia wameshindwa kufikia makubaliano juu ya ajenda kuu ya mkutano muhimu wa uchaguzi, suala ambalo limedhihirisha tena ufa uliopo kati ya makundi ya kisiasa ya Somalia.
-
Magaidi 76 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia
Apr 04, 2021 06:32Jeshi la Somalia limesema kuwa limeangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika operesheni ya kiusalama kusini mwa Somalia.
-
Askari wa Somalia wazima hujuma za al-Shabaab dhidi ya kambi za jeshi
Apr 03, 2021 05:12Jeshi la Taifa la Somalia limetangaza kuwa, askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kuzima mashambulio ya kundi la kigaidi la al-Shabaab yaliyolenga kambi mbili za kijeshi kusini mwa nchi.