-
Watu kadhaa wauawa katika shambulio la kigaidi la al-Shabaab Somalia
Jan 31, 2021 23:48Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu kwa mabomu na risasi.
-
Uganda yakanusha madai kuwa jeshi lake limeua magaidi 189 wa al-Shabaab
Jan 28, 2021 00:49Serikali ya Uganda imekadhibisha taarifa kuwa jeshi la nchi hiyo UPDF limeua wanachama 189 wa genge la al-Shabaab kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
9 wauawa katika mpaka wa Kenya na Somalia, AU yatoa kauli
Jan 26, 2021 07:28Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema amani katika mpaka wa Kenya na Somalia ni jambo muhimu kwa ajili ya uthabiti wa eneo zima la Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.
-
Jeshi la Uganda laua wanachama 189 wa al Shabab nchini Somalia
Jan 23, 2021 04:28Jeshi la Uganda UPDF limetangaza kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo wameua wanachama 189 wa genge la al Shabab katika shambulizi la kushtukiza na la kasi kubwa nchini Somalia.
-
Mripuko waua watu 7 katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu
Jan 07, 2021 23:13Watu wasiopungua 7 wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Watu watano wauawa katika hujuma ya kigaidi Dhobley, Somalia
Dec 30, 2020 01:03Watu watano wameuawa na wengine wawili wamejeruhiwa kwenye mlipuko uliojiri kwenye barabara ya mji wa Dhobley katika mkoa wa Lower Juba kusini mwa Somalia.
-
Jeshi la Kenya lashambulia maficho ya al-Shabaab na kuua kadhaa
Dec 27, 2020 20:51Kikosi Maalumu cha Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) jana Jumapili kilishambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika Msitu wa Boni kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya na kuangamiza wanachama kadhaa wa genge hilo.
-
Al-Shabaab yakiri kumuua chifu wa Wajir Kenya kwa kumkata kichwa
Dec 23, 2020 08:53Kundi la kigaidi la al-Shabaab lenye makao yake nchini Somalia limekiri kuwa ndilo lililomteka nyara na kumuua kwa kumkata kichwa chifu mmoja wa kaunti ya Wajir, huko kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Somalia yaafiki kurejesha uhusiano na Kenya baada ya mashinikizo ya IGAD
Dec 22, 2020 21:24Somalia imeafiki kurejesha uhusiano wake na Kenya kufuatia mashinikizo ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Mashariki mwa Afrika na pembe ya Afrika IGAD.
-
Kuanza kuondoka askari wa jeshi la Marekani nchini Somalia; kujipanga upya kijeshi Washington barani Afrika
Dec 21, 2020 10:15Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Somalia kwa madhumuni ya kuwapeleka katika vituo vyake vingine mashariki mwa Afrika.