Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • UNHCR: Zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka Kenya

    UNHCR: Zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka Kenya

    May 09, 2017 23:39

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka nchini Kenya.

  • Mripuko wa bomu waua watu sita na kujeruhi wengine kadhaa mjini Mogadishu, Somalia

    Mripuko wa bomu waua watu sita na kujeruhi wengine kadhaa mjini Mogadishu, Somalia

    May 09, 2017 03:40

    Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya bomu lililotegwa garini kuripuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu hapo jana.

  • Somalia: Tumemuua kiongozi wa al-Shabaab, Shabelle ya Chini

    Somalia: Tumemuua kiongozi wa al-Shabaab, Shabelle ya Chini

    May 07, 2017 09:00

    Siku mbili baada ya wanajeshi watatu wa Marekani kuuawa na kujeruhiwa na genge la al-Shabaab katika eneo la Barii, yapata maili 40 magharibi mwa mji wa Mogadishu, serikali ya Somalia imesema imefanikiwa kumuangamiza kamanda mkuu wa kundi hilo la kigaidi na kitakfiri katika eneo la Shabelle ya Chini.

  • Askari 3 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia

    Askari 3 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia

    May 05, 2017 23:42

    Askari mmoja wa Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika operesheni ya pamoja ya US na jeshi la Somalia dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.

  • Waziri auawa 'kimakosa' mjini Mogadishu, Somalia

    Waziri auawa 'kimakosa' mjini Mogadishu, Somalia

    May 04, 2017 03:07

    Waziri wa Ujenzi na Ukarabati wa Somalia ameuawa kwa kupigwa risasi kimakosa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.

  • Watoto milioni 1.4 wanakabiliwa na utapiamlo wa kiwango cha juu Somalia

    Watoto milioni 1.4 wanakabiliwa na utapiamlo wa kiwango cha juu Somalia

    May 02, 2017 12:17

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa huenda watoto milioni 1.4 wa Somalia wakapoteza maisha kutokana na utapiamlo wa kiwango cha juu.

  • 5 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Somalia

    5 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Somalia

    Apr 30, 2017 23:41

    Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu la kuendeshwa kutokea mbali katika viunga vya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Mripuko wajeruhi watu wawili mjini Mogadishu, Somalia

    Mripuko wajeruhi watu wawili mjini Mogadishu, Somalia

    Apr 29, 2017 11:01

    Duru za usalama nchini Somalia zimetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu mjini Mogadishu Somalia na kujeruhi watu wawili.

  • Magaidi wa Al-Shabab wamuua afisa mwandamizi wa usalama wa taifa Somalia

    Magaidi wa Al-Shabab wamuua afisa mwandamizi wa usalama wa taifa Somalia

    Apr 27, 2017 11:30

    Watu wenye silaha wanaoaminika kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wamemuua kwa kumpiga risasi afisa mwandamizi wa usalama wa taifa wa serikali ya Somalia mbele ya nyumba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.

  • UNICEF: Watoto elfu 30 wanahitaji chanjo ya haraka nchini Somalia

    UNICEF: Watoto elfu 30 wanahitaji chanjo ya haraka nchini Somalia

    Apr 25, 2017 22:02

    Mjumbe wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) nchini Somalia amesisitizia udharura wa kupatiwa chanjo maelfu ya watoto kusini mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS