-
5 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Somalia
Apr 30, 2017 23:41Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu la kuendeshwa kutokea mbali katika viunga vya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Mripuko wajeruhi watu wawili mjini Mogadishu, Somalia
Apr 29, 2017 11:01Duru za usalama nchini Somalia zimetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu mjini Mogadishu Somalia na kujeruhi watu wawili.
-
Magaidi wa Al-Shabab wamuua afisa mwandamizi wa usalama wa taifa Somalia
Apr 27, 2017 11:30Watu wenye silaha wanaoaminika kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wamemuua kwa kumpiga risasi afisa mwandamizi wa usalama wa taifa wa serikali ya Somalia mbele ya nyumba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
UNICEF: Watoto elfu 30 wanahitaji chanjo ya haraka nchini Somalia
Apr 25, 2017 22:02Mjumbe wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) nchini Somalia amesisitizia udharura wa kupatiwa chanjo maelfu ya watoto kusini mwa nchi hiyo.
-
Askari 8 wa Somalia wauawa katika shambulizi la bomu, Puntland
Apr 23, 2017 09:33Wanajeshi wanane wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Save the Children: Utapiamlo mkali unatia wasiwasi nchini Somalia
Apr 22, 2017 01:59Shirika la kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, kiwango cha utapiamlo mkali kinachoshuhudiwa nchini Somalia kinatia wasiwasi.
-
Indhari ya Unicef kuhusu kusimamia utoaji huduma huko Somalia na Sudan Kusini
Apr 19, 2017 02:58Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu kukosekana usimamizi wa utoaji huduma za kibinadamu kwa raia wa Sudan Kusini na Somalia.
-
Jeshi la Somalia laua magaidi katika uwanja wa ndege Mogadishu
Apr 16, 2017 11:26Jeshi la Somalia limewaua magaidi wawili walioonekana wakivurumisha mizinga kuelekea uwanja wa kimataifa wa ndege wa Mogadishu mapema Jumapili.
-
UN: Kipindupindu kimeua zaidi ya watu 530 Somalia
Apr 13, 2017 23:26Umoja wa Mataifa na jumuiya za misaada ya kibinadamu zimeonya kwamba kipindupindu kinaenea kwa kasi katika maeneo yaliyoathirika na ukame nchini Somalia wakati nchi hiyo ikiendelea kunyemelewa na hatari kubwa ya baa la njaa.
-
Mkurupuko wa kuendesha waua watu 28 Somaliland
Apr 13, 2017 00:12Makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kuharisha katika eneo lililojitangazia uhuru la Somaliland huko kaskazini mwa Somalia.