Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Msalaba Mwekundu: Dunia ina miezi 3 kunusuru mamilioni wanaokabiliwa na njaa Somalia, Yemen

    Msalaba Mwekundu: Dunia ina miezi 3 kunusuru mamilioni wanaokabiliwa na njaa Somalia, Yemen

    Mar 22, 2017 11:41

    Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa, jamii ya kimataifa ina miezi mitatu hadi minne kuokosoa maisha ya mamilioni ya watu wanaokabiliwa na baa la njaa katika nchi za Somalia na Yemen.

  • Waziri Mkuu Mpya wa Somalia atangaza baraza jipya la mawaziri 26

    Waziri Mkuu Mpya wa Somalia atangaza baraza jipya la mawaziri 26

    Mar 21, 2017 10:48

    Waziri Mkuu Mpya wa Somalia leo ametangaza baraza lake la mawaziri 26 na kumteua waziri wa zamani wa mambo ya nje kuwa Waziri wa Fedha huku akimteuwa pia mwandishi wa habari wa BBC kuwa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Somalia: Saudia, mhusika wa mauaji ya wakimbizi wa Kisomali

    Waziri Mkuu wa Somalia: Saudia, mhusika wa mauaji ya wakimbizi wa Kisomali

    Mar 20, 2017 11:38

    Serikali ya Somalia imesema kuwa utawala wa Saudi Arabia ndio uliohusika na mauaji ya wakimbizi wa nchi hiyo katika maji ya Yemen.

  • Saudia yaitaka UN isimamie bandari ya Yemen baada ya kuua kikatili Wasomali 44

    Saudia yaitaka UN isimamie bandari ya Yemen baada ya kuua kikatili Wasomali 44

    Mar 20, 2017 04:31

    Muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Yemen umeutaka Umoja wa Mataifa uchukue udhibiti wa bandari ya Hudaydah baada ya helikopta ya Aal-Saud aina ya Apache kufanya shambulio la kikatili dhidi ya boti ya wakimbizi karibu na Lango Bahari la Bab al-Mandab, pwani ya Yemen na kuua makumi ya raia wa Somalia.

  • Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika aitembelea Somalia

    Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika aitembelea Somalia

    Mar 19, 2017 03:42

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat ameongoza ujumbe wa ngazi za juu wa umoja huo katika ziara ya kuitembelea Somalia.

  • UN, IOM zalaani mauaji ya wakimbizi 42 wa Kisomali, pwani ya Yemen

    UN, IOM zalaani mauaji ya wakimbizi 42 wa Kisomali, pwani ya Yemen

    Mar 18, 2017 03:44

    Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limekosoa vikali shambulio lililoua makumi ya wakimbizi raia wa Somalia katika pwani ya Yemen usiku wa kuamkia jana.

  • Wanamgambo wa al Shabab wauawa kusini mwa Somalia

    Wanamgambo wa al Shabab wauawa kusini mwa Somalia

    Mar 17, 2017 23:21

    Wanamgambo kadhaa wa kundi la kigaidi la al Shabab wameuawa katika oparesheni iliyofanywa na jeshi la Somalia katika maficho ya kundi hilo kusini mwa nchi hiyo

  • Kiongozi mmoja mwandamizi wa al Shabab auawa Somalia

    Kiongozi mmoja mwandamizi wa al Shabab auawa Somalia

    Mar 16, 2017 23:54

    Maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya ulinzi na usalama wa Somalia wametangaza habari ya kuuawa mmoja wa viongozi waandamizi wa genge la kigaidi la al Shabab katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.

  • Watu 8 wauawa,  katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia

    Watu 8 wauawa, katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia

    Mar 13, 2017 10:56

    Polisi ya Mogadishu, mji mkuu wa Somalia imetangaza habari ya kuuawa watu wanane katika mripuko wa bomu uliotokea leo mjini humo.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa ya kutokea maafa ya kutisha zaidi ya hali mbaya ya kibinaadamu

    Indhari ya Umoja wa Mataifa ya kutokea maafa ya kutisha zaidi ya hali mbaya ya kibinaadamu

    Mar 13, 2017 02:35

    Kutokana na kuenea ukame na njaa katika maeneo tofauti ya dunia Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu hatari ya kutokea maafa makubwa zaidi ya kibinaadamu ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika miaka 72 iliyopita

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS