Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Mripuko ndani ya msikiti waua watu wawili na kujeruhi 15 nchini Somalia

    Mripuko ndani ya msikiti waua watu wawili na kujeruhi 15 nchini Somalia

    Mar 31, 2016 23:52

    Watu wawili wameuawa na wengine 15 wamejeruhiwa wakati ulipotokea mripuko ndani ya msikiti katika mji wa Beledweyne mkoani Hiiraan katikati mwa Somalia hapo jana.

  • Waturuki 2 wauawa, Mkenya ajeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu

    Waturuki 2 wauawa, Mkenya ajeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu

    Mar 30, 2016 22:37

    Watu sita wakiwemo Waturuki wawili wameuawa katika shambulizi lililolenga basi dogo lililokuwa limebeba wafanyakazi wa hospitali moja inayosimamiwa na Uturuki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Serikali ya Somalia: Tumekamata wanachama 100 wa al-Shabab

    Serikali ya Somalia: Tumekamata wanachama 100 wa al-Shabab

    Mar 29, 2016 23:41

    Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabab wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Somalia.

  • EU kupunguza ufadhili kwa askari wa Burundi walioko Somalia

    EU kupunguza ufadhili kwa askari wa Burundi walioko Somalia

    Mar 29, 2016 11:14

    Umoja wa Ulaya unapanga kupunguza ufadhili wake kwa askari wa Burundi ambao ni miongoni mwa wanajeshi wa Kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM.

  • Magaidi 115 wa Al Shabab wauawa Somalia

    Magaidi 115 wa Al Shabab wauawa Somalia

    Mar 28, 2016 09:10

    Jeshi la Somalia limefanikiwa kuwaua magaidi zaidi ya 115 wa kundi la kitakfiri la Al Shabab katika jimbo la Galmudug nchini humo.

  • Ash Shabab 60 wauawa mashariki mwa Somalia

    Ash Shabab 60 wauawa mashariki mwa Somalia

    Mar 27, 2016 00:09

    Wapiganaji 60 wa kundi la kigaidi la ash-Shabab nchini Somalia wameuawa mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wanamgambo 23 wa al Shabab wauliwa na askari wa Somalia

    Wanamgambo 23 wa al Shabab wauliwa na askari wa Somalia

    Mar 26, 2016 12:27

    Kwa akali wanachama 23 wa kundi la kigaidi la ash-Shabab la Somalia wameuliwa na askari wa serikali ya nchi hiyo.

  • Wanachama 156 wa ash-Shabab watiwa mbaroni na polisi ya Somalia

    Wanachama 156 wa ash-Shabab watiwa mbaroni na polisi ya Somalia

    Mar 25, 2016 02:26

    Polisi ya Somalia imetangaza kuwatia mbaroni watu 156 kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la ash-Shabab. Kwa mujibu wa polisi ya nchi hiyo, watu hao wametiwa nguvuni katika jimbo la Puntland kaskazini mwa Somalia.

  • Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Mar 22, 2016 03:34

    Magaidi zaidi ya 70 wa kundi la kitakfiri la al Shabab wameuawa katika mapigano na Jeshi la Somalia kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle

    Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle

    Mar 21, 2016 11:45

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwaua askari 73 wa jeshi la taifa la Somalia, katika makabiliano makali yaliyotokea jana huko Shabelle ya Chini, yapata kilomita 60 kusini mwa mji mkuu, Mogadishu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS