Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Magaidi wa Al Shabab wateka mji wa Garad, Somalia

    Magaidi wa Al Shabab wateka mji wa Garad, Somalia

    Mar 15, 2016 11:24

    Magaidi wa Al Shabab wameuteka mji wa bandarini wa Garad katika eneo la Puntland lenye mamlaka ya ndani Somalia.

  • Washukiwa 30 wa al Shabab watiwa mbaroni katika oparesheni kubwa ya kiusalama Shabelle ya Chini

    Washukiwa 30 wa al Shabab watiwa mbaroni katika oparesheni kubwa ya kiusalama Shabelle ya Chini

    Mar 14, 2016 23:30

    Washukiwa wa kundi la wanamgambo la al Shabab wasiopungua 30 wametiwa mbaroni katika oparesheni kubwa ya kiusalama iliyofanywa na vikosi vya usalama vya Somalia katika mkoa wa Shabelle ya Chini.

  • Polisi 3 wauawa katika hujuma ya al-Shabab Somalia

    Polisi 3 wauawa katika hujuma ya al-Shabab Somalia

    Mar 09, 2016 04:34

    Kwa akali maafisa watatu wa polisi ya Somalia wameuawa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini mapema leo Jumatano katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.

  • Boti ya silaha zinazoaminiwa ni za ash Shabab yakamatwa na askari wa Australia

    Boti ya silaha zinazoaminiwa ni za ash Shabab yakamatwa na askari wa Australia

    Mar 07, 2016 23:43

    Vyombo vya habari vya Australia vimeripoti kuwa, maafisa usalama wa nchi hiyo wamekamata boti ya uvuvi iliyokuwa imejaa silaha zilizokuwa zinapelekwa kwa wanamgambo wa ash Shabab nchini Somalia.

  • Qatar yampa hifadhi kamanda mwandamizi wa zamani wa al-Shabab

    Qatar yampa hifadhi kamanda mwandamizi wa zamani wa al-Shabab

    Mar 06, 2016 21:47

    Aliyekuwa kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kitakfiri la al-Shabab, Muhammed Said Atam amepewa hifadhi na serikali ya Qatar.

  • Watu watatu wauawa katika mripuko wa bomu nchini Somalia

    Watu watatu wauawa katika mripuko wa bomu nchini Somalia

    Mar 06, 2016 11:58

    Kwa akali watu watatu wameripotiwa kuuawa katika miripuko iliyotokea leo kusini mwa Somalia.

  • Makumi ya maelfu ya watoto nchini Somalia wakabiliwa na hatari ya kifo

    Makumi ya maelfu ya watoto nchini Somalia wakabiliwa na hatari ya kifo

    Mar 04, 2016 23:33

    Mkuu wa Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Pembe ya Afrika amesema watoto wapatao 60,000 nchini Somalia wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na uhaba wa misaada ya kibinadamu.

  • Umoja wa Ulaya kupunguza misaada yake kwa AMISOM

    Umoja wa Ulaya kupunguza misaada yake kwa AMISOM

    Mar 02, 2016 04:49

    Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa utapunguza misaada yake ya kifedha kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika AMISOM nchini Somalia.

  • Umoja wa Afrika walaani shambulio la wanamgambo wa al-Shabab Somalia lililoua raia wasiopungua 30 huko Baidoa

    Umoja wa Afrika walaani shambulio la wanamgambo wa al-Shabab Somalia lililoua raia wasiopungua 30 huko Baidoa

    Feb 29, 2016 11:37

    Umoja wa Afrika umelaani vikali shambulio la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab lililopelekea watu wasiopungua 30 kuuawa huko Baidoa na wengine 42 kujeruhiwa.

  • Rais wa Somalia: Nilinukuliwa vibaya kuhusu idadi ya waliouawa El-Adde

    Rais wa Somalia: Nilinukuliwa vibaya kuhusu idadi ya waliouawa El-Adde

    Feb 28, 2016 04:36

    Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari kuhusu idadi ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF waliouawa mwezi uliopita katika hujuma ya kundi la al-Shabab katika kambi ya El-Adde.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS