Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Makumi ya maelfu ya watoto nchini Somalia wakabiliwa na hatari ya kifo

    Makumi ya maelfu ya watoto nchini Somalia wakabiliwa na hatari ya kifo

    Mar 04, 2016 23:33

    Mkuu wa Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Pembe ya Afrika amesema watoto wapatao 60,000 nchini Somalia wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na uhaba wa misaada ya kibinadamu.

  • Umoja wa Ulaya kupunguza misaada yake kwa AMISOM

    Umoja wa Ulaya kupunguza misaada yake kwa AMISOM

    Mar 02, 2016 04:49

    Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa utapunguza misaada yake ya kifedha kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika AMISOM nchini Somalia.

  • Umoja wa Afrika walaani shambulio la wanamgambo wa al-Shabab Somalia lililoua raia wasiopungua 30 huko Baidoa

    Umoja wa Afrika walaani shambulio la wanamgambo wa al-Shabab Somalia lililoua raia wasiopungua 30 huko Baidoa

    Feb 29, 2016 11:37

    Umoja wa Afrika umelaani vikali shambulio la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab lililopelekea watu wasiopungua 30 kuuawa huko Baidoa na wengine 42 kujeruhiwa.

  • Rais wa Somalia: Nilinukuliwa vibaya kuhusu idadi ya waliouawa El-Adde

    Rais wa Somalia: Nilinukuliwa vibaya kuhusu idadi ya waliouawa El-Adde

    Feb 28, 2016 04:36

    Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari kuhusu idadi ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF waliouawa mwezi uliopita katika hujuma ya kundi la al-Shabab katika kambi ya El-Adde.

  • 20 wameuawa katika hujuma ya kigaidi Al Shabab Mogadishi

    20 wameuawa katika hujuma ya kigaidi Al Shabab Mogadishi

    Feb 27, 2016 13:19

    Watu 20 wamebainika kuuawa katika hujuma ya kundi la kigaidi la Al Shabab mjini Mogadishi.

  • Al Shabab yashambulia tena ikulu ya Rais Somalia

    Al Shabab yashambulia tena ikulu ya Rais Somalia

    Feb 25, 2016 22:32

    Kundi la kigaidi la al Shabab limeshambulia ikulu ya Rais wa Somalia na kuua watu kadhaa.

  • Rais wa Somalia: Askari 200 wa Kenya waliuwa na al-Shabaab, El-Adde

    Rais wa Somalia: Askari 200 wa Kenya waliuwa na al-Shabaab, El-Adde

    Feb 25, 2016 13:01

    Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema askari wapatao 200 wa Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF waliuawa katika shambulio la kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kambi ya El-Adde mwezi uliopita.

  • Somalia yalalamikia hatua ya Kenya ya kuwati mbaroni wabunge wake

    Somalia yalalamikia hatua ya Kenya ya kuwati mbaroni wabunge wake

    Feb 23, 2016 10:12

    Serikali ya Somalia imelalamikia hatua ya Kenya ya kuwatia mbaroni wabunge wake wanaoishi nchini humo.

  • Jeshi la Uganda lafelisha mashambulio ya al Shabab, laua makamanda

    Jeshi la Uganda lafelisha mashambulio ya al Shabab, laua makamanda

    Feb 19, 2016 23:38

    Wanajeshi wa Uganda wanaoshiriki kwenye operesheni za kijeshi za kikosi cha Umoja wa Afrika AMISOM nchini Somalia wamefanikiwa kuvunja mashambulio mawili ya kundi la kigaidi la al shabab katika kambi za AU kama ambavyo wamefanikiwa pia kuua makamanda wawili wa kundi hilo katika siku chache zilizopita.

  • Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwezi Julai mwaka huu

    Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwezi Julai mwaka huu

    Feb 17, 2016 22:41

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia amesema, viongozi wa baadhi ya majimbo nchini humo wamekubaliana na pendekezo la serikali kuu la kufanyika uchaguzi mwezi Julai mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS