Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Sudan yasema inakabiliana na tishio katika mipaka yake na Misri, Eritrea

    Sudan yasema inakabiliana na tishio katika mipaka yake na Misri, Eritrea

    Jan 15, 2018 04:04

    Serikali ya Sudan imesema inakabiliana na tishio la usalama katika mipaka yake na nchi jirani za Misri na Eritrea.

  • Malalamiko yaongezeka dhidi ya serikali nchini Sudan

    Malalamiko yaongezeka dhidi ya serikali nchini Sudan

    Jan 14, 2018 23:47

    Malalamiko ya wananchi ya kulalamikia ughali wa maisha na hali ngumu ya kiuchumi yameongezeka nchini Sudan huku kukiwa na tetesi kwamba huenda serikali ya nchi hiyo ikavunjwa.

  • Wasudan waandamana kulalamikia kupanda kwa bei ya mkate

    Wasudan waandamana kulalamikia kupanda kwa bei ya mkate

    Jan 09, 2018 12:20

    Maandandamano ya raia wa Sudan ya kupinga ongezeko la bei ya mkate na machafuko baina ya raia na askari usalama yameendelea leo kwa siku ya tatu mfululizo.

  • Sudan yaishitaki Misri UNSC kuhusiana na eneo la Hala'ib, mzozo watokota

    Sudan yaishitaki Misri UNSC kuhusiana na eneo la Hala'ib, mzozo watokota

    Jan 09, 2018 04:16

    Serikali ya Sudan kwa mara nyingine imewasilisha mashitaka yake dhidi ya Misri katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Cairo kudhibiti eneo la Hala'ib linalozozaniwa.

  • Sudan yafunga mpaka na Eritrea, yatuma maelfu ya askari mpakani

    Sudan yafunga mpaka na Eritrea, yatuma maelfu ya askari mpakani

    Jan 07, 2018 10:20

    Sudan imetangaza rasmi kufunga mpaka wake na Eritrea baada ya kutuma maelfu ya wanajeshi katika jimbo la Kassala lililopo katika mpaka wa Eritrea.

  • Uhusiano wa Sudan na Misri wazidi kuharibika; Khartoum yamwita nyumbani balozi wake

    Uhusiano wa Sudan na Misri wazidi kuharibika; Khartoum yamwita nyumbani balozi wake

    Jan 05, 2018 00:52

    Uhusiano wa Sudan na Misri umezidi kuharibika baada ya serikali ya Khartoum kumwita nyumbani balozi wake aliyeko Cairo Misri.

  • Rais wa Sudan arefusha muda wa usitishaji vita na waasi kwa miezi mitatu mingine

    Rais wa Sudan arefusha muda wa usitishaji vita na waasi kwa miezi mitatu mingine

    Jan 04, 2018 10:51

    Rais wa Sudan amerefusha usitishaji vita wa upande mmoja katika majimbo ya Blue Nile na Kordofan ya Kusini kwa miezi mitatu mingine.

  • Waziri wa Sudan aghairisha safari yake Misri kwa sababu ya ugomvi baina ya nchi mbili

    Waziri wa Sudan aghairisha safari yake Misri kwa sababu ya ugomvi baina ya nchi mbili

    Jan 01, 2018 04:27

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan nchini Misri imeghairishwa kufuatia ugomvi na mvutano uliozuka baina ya nchi hizo mbili.

  • Rais wa Sudan atangaza hali ya hatari ya miezi sita katika majimbo mawili

    Rais wa Sudan atangaza hali ya hatari ya miezi sita katika majimbo mawili

    Dec 31, 2017 00:01

    Rais Omar al Bashir wa Sudan ametangaza hali ya hatari ya miezi sita katika majimbo mawili ya nchi hiyo. Jana Jumamosi Rais al Bashir alitangaza uamuzi huo wa kutekelezwa hali ya hatari huko Kordofan ya Kaskazini na Kasala.

  • George Weah ashinda urais Liberia, amshukuru Arsene Wenger, Jacob Zuma ampongeza

    George Weah ashinda urais Liberia, amshukuru Arsene Wenger, Jacob Zuma ampongeza

    Dec 27, 2017 12:23

    Bingwa wa zamani wa dunia wa mpira wa miguu, George Weah ameshinda katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa nchi ya magharibi mwa Afrika ya Liberia kwa kukomba kaunti 12 kati ya 15 za nchi hiyo zilizopiga kura.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS