-
19 wauawa katika mapigano kwenye mpaka wa Sudan na Libya
Sep 23, 2017 01:04Habari kutoka nchini Sudan zinasema kuwa, watu 19 wameuawa katika mapigano yaliyotokea kwenye maeneo ya mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Sudan yaitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi yake
Sep 19, 2017 03:15Rais wa Sudan ametaka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi yake.
-
Jeshi la Sudan lakanusha kushambulia waasi katika jimbo la Blue Nile
Sep 17, 2017 09:25Jeshi la Sudan limekanusha kushambulia eneo la waasi katika jimbo la Blue Nile.
-
Sudan yaitupa mkono Saudia, sasa yakusudia kuimarisha zaidi mahusiano na Qatar
Sep 15, 2017 23:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan ameeleza kuwepo mazungumzo kati ya Sudan na Qatar kwa ajili ya kupanua zaidi mahusiano ya pande mbili.
-
Sudan yajiunga na nchi zilizosusia kikao cha Togo cha utawala wa Kizayuni na Afrika
Sep 06, 2017 11:50Makamu wa Rais wa Sudan ametangaza kuwa kutokana na kufungamana na malengo matukufu ya taifa la Palestina, nchi hiyo imesusia kushiriki kikao cha pamoja cha utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Afrika kilichopangwa kufanyika nchini Togo.
-
Wapinzani nchini Sudan wailaumu vikali serikali
Sep 02, 2017 11:16Mkuu wa chama cha National Umma Party cha Sudan amezikosoa vikali siasa za masuala ya kigeni za serikali ya Rais Omar al Bashir na kusema kuwa zimeigeuza Sudan kuwa kibaraka wa nchi nyingine.
-
Maulamaa Sudan wataka kufutwa kazi waziri anayetaka uhusiano na Wazayuni
Aug 26, 2017 22:10Jopo la Maulamaa wa Sudan limetaka kufutwa kazi waziri wa uwekezaji wa nchi hiyo kutokana na kutoa mwito wa kuweko uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan
Aug 26, 2017 22:07Fayez al Sarraj Waziri Mkuu wa Libya anayeongoza serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo leo Jumapili anaelekea ziarani nchini Sudan.
-
Ahmad Bilal: Serikali ya Sudan inapinga kuwa na uhusiano na Israel
Aug 24, 2017 03:14Waziri wa Habari wa Sudan ametangaza kuwa, serikali ya Khartoum inapinga kuanzishwa uhusiano baina yake na utawala wa Kizayuini wa Israel.
-
Makumi ya vivuko katika mpaka wa Sudan vimefungwa ili kuzuia magendo ya silaha
Aug 21, 2017 11:55Serikali ya Sudan imefunga vivuko 63 katika mpaka wa nchi hiyo na nchi jirani ili kuzuia kuingizwa silaha nchini humo.