Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Khartoum yakosoa uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya Sudan

    Khartoum yakosoa uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya Sudan

    Dec 04, 2024 08:42

    Wizara ya Ulinzi ya Sudan imetoa taarifa ikikosoa uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi hiyo na pia hatua yake ya kuwapatia silaha na zana za kijeshi wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).

  • Sudan: Colombia yaomba radhi kufuatia baadhi ya raia wake kushiriki kama mamluki katika kikosi cha RSF

    Sudan: Colombia yaomba radhi kufuatia baadhi ya raia wake kushiriki kama mamluki katika kikosi cha RSF

    Dec 03, 2024 08:54

    Sudan imethibitisha kuwa Colombia imeiomba radhi kufuatia baadhi ya raia wa nchi hiyo kushiriki kama mamluki katika kikosi cha wanamgambo wa RSF wa Sudan wanaopigana dhidi ya serikali ya Khartoum.

  • Jeshi la Sudan: Tumeuwa wanamgambo 30 wenye silaha wa RSF

    Jeshi la Sudan: Tumeuwa wanamgambo 30 wenye silaha wa RSF

    Dec 02, 2024 08:46

    Jeshi la Sudan leo limedai kuwa limewauwa wapiganaji 30 wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika mapigano makali yaliyozuka kati yao na kikosi hicho.

  • Sudan yaripoti wagonjwa wa kipindupindu zaidi ya elfu 43

    Sudan yaripoti wagonjwa wa kipindupindu zaidi ya elfu 43

    Nov 29, 2024 03:45

    Sudan jana Alhamisi iliripoti watu zaidi ya 43,000 wanaugua kipindupindu huku wengine 1,800 wakiaga dunia kwa ugonjwa huo.

  • Wapiganaji wa RSF washambulia kijiji na kuua watu 42 katikati mwa Sudan

    Wapiganaji wa RSF washambulia kijiji na kuua watu 42 katikati mwa Sudan

    Nov 21, 2024 04:17

    Watu wasiopungua 42 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji cha Wad Oshaib katika jimbo la kati la al Jazira nchini Sudan.

  • Msisitizo wa kupanuliwa ushirikiano wa vyombo vya habari kati ya Iran na Sudan

    Msisitizo wa kupanuliwa ushirikiano wa vyombo vya habari kati ya Iran na Sudan

    Nov 15, 2024 00:25

    Imesisitizwa katika kikao cha balozi wa Sudan nchini Iran na Mkuu wa kitengo cha matangazo ya nje cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) nia ya dhati ya nchi hizo mbili ya kuendeleza ushirikiano wa vyombo vya habari.

  • Utafiti mpya: Idadi ya  waliouawa vitani Sudan inaweza kuwa ya juu zaidi

    Utafiti mpya: Idadi ya waliouawa vitani Sudan inaweza kuwa ya juu zaidi

    Nov 15, 2024 00:24

    Zaidi ya watu 61,000 wanakadiriwa kupoteza maisha katika jimbo la Khartoum katika kipindi cha miezi 14 ya kwanza ya vita vya Sudan. Ushahidi unaonyesha kuwa idadi ya watu waliouliwa vitani ni kubwa zaidi kuliko ilivyosajiliwa hapo awali. Hii ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya watafiti nchini Uingereza na Sudan.

  • Iran na Sudan zasisitiza kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara

    Iran na Sudan zasisitiza kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara

    Nov 07, 2024 23:07

    Waziri wa Uchumi na Fedha wa Iran na Waziri wa Fedha na Mipango ya Kiuchumi wa Sudan wamekutana na kujadili upanuzi wa uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara.

  • RSF yaendeleza hujuma za umwagaji damu Sudan

    RSF yaendeleza hujuma za umwagaji damu Sudan

    Nov 03, 2024 03:13

    Kwa akali watu 18 wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa katika mashambulizi mawili tofauti ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa Sudan.

  • UN: Vita vya Sudan vimesababisha watu milioni 14 kuwa wakimbizi

    UN: Vita vya Sudan vimesababisha watu milioni 14 kuwa wakimbizi

    Oct 29, 2024 23:58

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, vita vya zaidi ya mwaka mmoja na nusu huko Sudan vimepelekea watu zaidi ya milioni 14 kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS