-
UN: Kuna wasiwasi juu ya ongezeka la machafuko huko El Fasher, magharibi mwa Sudan
May 17, 2024 11:47Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amesema leo Ijumaa kwamba "ameshtushwa" na ongezeko la ghasia karibu na mji wa El Fasher huko magharibi mwa Sudan.
-
Guterres abainisha wasiwasi wake mkubwa kuhusu mapigano katika mji wa El Fasher, Sudan
May 14, 2024 02:33Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa Antonio Guterres ana wasiwasi mkubwa kufuatia mapigano ya karibuni kati ya jeshi la Sudan na wanamgambo wapinzani katika mji muhimu wa Darfur wa El-Fasher nchini humo.
-
Mapigano mapya yaripotiwa baina ya jeshi la Sudan na RSF huko Darfur
May 11, 2024 04:28Wimbi jipya la mapigano limeripotiwa kuanza baina ya wanajeshi wa Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF katika jimbo la Darfur, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Shirika la kimataifa la usalama wa chakula: Sudan inahitaji hatua za haraka kukabiliana na njaa
Mar 30, 2024 03:51Shirika la usalama wa chakula duniani linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa (IPC) lilionya jana Ijumaa kuhusu haja ya kuchukuliwa hatua za haraka "kuzuia kushamiri vifo, kuporomoka kabisa kwa njia za kujipatia riziki na kuepusha janga la njaa nchini Sudan."
-
UN: Sudan kukumbwa na mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu duniani
Mar 21, 2024 06:42Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imeonya kuwa, mapigano makali ya karibu mwaka mmoja sasa kati ya makundi mawili hasimu, yaani Jeshi la Sudan (SAF) na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) yameiweka nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika katika ncha ya kutumbukia kwenye mgogoro mbaya zaidi wa njaa duniani.
-
UN yazitaka pande za Sudan kuweka chini silaha, kuwalinda raia wakati wa Ramadhani
Mar 16, 2024 22:41Umoja wa Mataifa umezitaka pande zinazozozana Sudan kuweka chini silaha na kuwalinda raia wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
-
Sudan karibuni itakumbwa na janga kubwa la njaa
Mar 06, 2024 04:12Mpango wa Chakula Duniani (WFP) leo umetahadharisha kuwa vita vya Sudan vilivyodumu kwa takriban miezi 11 kati ya majenerali hasimu vinahatarisha nchi hiyo kuathiriwa na janga kubwa la njaa.
-
Khartoum yakanusha madai kuwa Iran inataka kujenga kambi ya kijeshi Sudan
Mar 04, 2024 07:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amekadhibisha madai ya gazeti moja la Marekani kwamba Iran imeiomba serikali ya Sudan idhini ya kujenga kituo cha kudumu cha kijeshi katika maji ya Bahari Nyekundu, pwani ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ripoti ya UN: RSF inashambulia na kuua raia Darfur, Sudan kwa msingi wa ukabila
Mar 01, 2024 23:38Ripoti mpya ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa imesema, Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF pamoja na wanamgambo vinaoshirikiana nao wanaopigania kutwaa madaraka nchini Sudan wamefanya mauaji ya kikabila na ubakaji wakati wa udhibiti wa eneo kubwa la Darfur magharibi mwa nchi hiyo, na kwamba vitendo hivyo vinaweza kuwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu.
-
Sudan yapuuzilia mbali madai ya Marekani dhidi yake
Feb 25, 2024 06:26Serikali ya Sudan imekosoa vikali taarifa ya Marekani inayotuhumu serikali ya Khartoum kwamba inazuia watu nchi humo kufikishiwa misaada ya kibinadamu.